Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Uzi mrefu unaeleweka kukosea ipo sasa pale kwenye quote yako kuna urefu gani kubali kusahihishwa mkuu mbn jambo dogo tu alafu unapaniki braza
Huna unalolijua ina maana hujawahi kusoma threads ndefu, maana siku nzima ungekuwa una edit sarufi. Usiniletee njaa umetoka kwe hoja unaingia kwenye mambo hata yasiofikilisha akili.
 
IMG-20171126-WA0018.jpg

MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media, Joseph Kusaga, kupitia kipindi cha Clouds 360 leo, amedhibitisha taarifa za kurudiwa kwa tamasha la Tigo Fiesta kabla ya mwaka huu kwisha.

Kusaga ameyasema hayo wakati wa kuadhimisha mwaka wa 19 tangu kuanzishwa kwa Clouds Media Group.

kusaga.png

Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media, Joseph Kusaga.

Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam lilitakiwa kufanyika Novemba 24, 2018 lakini halikufanyika na sababu ya msingi haikutajwa zaidi ya viongozi kusema kuwa tatizo hilo lilikuwa nje ya uwezo wao.

Alichokisema Joseph Kusaga:

“TIGO FIESTA 2018 lazima ifanyike kabla mwaka kuisha, nimezungumza hadi na Mheshimiwa Rais Dkt Magufuli kwamba pengine suala ni venue, hili jambo limepenyezwa kwa viongozi wa serikali tumekaa tumezungumza.”

TIGO-FIESTA.png

You May Like
 
Hatutaki TANTALILA waseme linafanyika lini na wapi BAASSSIII hayo mambo ya kusema nimezungumza na JIWE then what?
 
Muhimu kwenda kujumuika na kuunga mkono vitu vitakavyo kuwa Alama ya Uzalendo wetu Tanzania... Muhitikio wetu ni faida kwa kesho, maana kesho yetu Watu wa Mataifa mbalimbali watakuja na Uchumi utaongezeka, Mahoteli, Uber mpaka Watu wata watumia Bibi zao senti ya Sukari kupitia Tigopesa.
 
haya bhana... utaniwakilisha
 
haya bhana... utaniwakilisha
Karibu ndugu yangu, baada ya kazi mwaka mzima tunajumuika, kuna Fashion, kuna Misosi, Vyuraaaa vya kutosha ( wenye wake twende nao ) Binafsi tumekubalina na Mke wangu tushindane kuoneshana Chura.. Atakae shinda siku hiyo ana mfanyia Massage mwenzie kwa Week moja kila Usiku.
 
Kila la kheri mkuu
 
Ni tarehe ngapi?
Mwambie ahakikishe hiyo FIESTA haitagongana na Tafrija ya wana JF hapo tarehe 15/12/2018
 
Jamaa nae kwa misifa! eti nimeongea na Raisi! upuuzi mtupu... labda raisi wa tuma salam redioni.
 
Back
Top Bottom