chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wananiita Sugu!!! Nani!!
Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu akimuangusha Mch. Msigwa.
Mbowe ametumia makada wake wakongwe kujiimarisha madarakani. Sugu na Mbowe wanajuana tangu enzi ya Club Bilicanas
Pia soma: Kuelekea 2025 - Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi
======
Sasisho
Mchungaji Peter Msigwa ampongeza Joseph Mbilinyi kwa kushinda uchaguzi, adai hakwenda CHADEMA kutafuta vyeo bali kuwatumikia wananchi.
Zaidi soma:
- Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!
- Mwananyasa mumchague Sugu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda