Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matokeo ya Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa.Joseph Osmond Mbilinyi (SUGU) amepata kura 54 sawa asilimia 50.94Peter Simon Msigwa amepata kura 52 sawa na asimilia 49.05
Mmmh, Ili mradi tu umeingiza buku 7 kwa post kwa siku.

Anyway, ndivyo ilivyo.

Sasa hebu endelea kuufunua huo "unafiki wa CHADEMA" Ili na jukwaa liujue..
 
Akili huna, Mbowe ndio ameibuwa vijana wengi unaoona wanashine.
Mnatukana wenzenu hovyo imagine mtu anatangazwa mshindi uchaguzi wa ndani lakini bado mnatukanana sio utoto nani awape nchi nyie
.Tutakaa pale miaka 14440
 
Mnatukana wenzenu hovyo imagine mtu anatangazwa mshindi uchaguzi wa ndani lakini bado mnatukanana sio utoto nani awape nchi nyie
.Tutakaa pale miaka 14440
Wewe na Juma Lokole mna tofauti gani?
Fuseeki.
 
Back
Top Bottom