Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mbona kama unalia?Sikuwahi kujua kama CHADEMA nacho ni Chama Cha Kiboya hivi, yaan honestly Unawekewa Sugu na Msigwa Unachagua sugu? Naiona ACT iki-shine ukanda huo! Haki hao Wajumbe Ukanda huo ni Vilaza sana.
CHADEMA wajitathmini, kuna namna ya kugawanyika, inamaana kile Sugu alichokuwa akiongea akionyesha maneno ya dharau, kashfa na uadui wa wazi wazi ni maneno ya ndani ya chama. Pia kuhusu kusema chama hakimuaminini maneno ya ndani ya chama japo yalitoka mdomon mwa Sugu.