Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
tofauti ndogo sana..
54 kwa 52..

Msigwa naye ni mshindi kumbe
Licha ya kununua wapiga kura yaani ushindi wenyewe ni mwembamba namna hii. Kumbe Msigwa ni Baba lao Kanda ya Nyasa, tumpe maua yake.

Bila Rushwa, Sugu alikuwa haoni ndani. Hata hivyo anakazi kubwa sana ya kuwaunganisha wananchi wasiomkubali ambao ni wengi.
Poleni sana CHADEMA.
 
Hongera sana Kamanda Joseph Mbilinyi aka Sugu.
Pamoja na madongo aliyorushiwa na Lisu pamoja na Msigwa lakini Kamanda Sugu alikuwa kimya tu.
Nakupongeza kwa uvumilivu wako bro
 
TAKUKURU walikuwa wapi?
TAKUKURU haihusiki na CHADEMA, kwani hao wanajimaliza wenyewe. Maana katika chaguzi kuu zilizopita CHADEMA ilijibainisha kama wapinga RUSHWA, leo wao ndio wala RUSHWA. Hoja ya kuwabwaga 2025 ni rahisi sana
 
Pccb Haina mipaka
 
Rushwa ipo wapi?. Yani mnahangaika na uongo kuhusu CHADEMA ila ukweli wa ripoti ya CAG au ufisadi kwenye Ziara za Makonda mmekalia kimya. Kweli nyie wanafiki.
 
Nasikitika sana Msigwa kupigwa chini,nimeumia mnooo ,namkubali sana Sugu lakini namkubali zaidi Msigwa,Chadema mpeni Msigwa uongozi wowote ngazi ya kitaifa,Kwa mtazamo wangu Msigwa anahitajika zaidi Chadema kuliko Sugu,zingatieni ushauri wangu kamwe msije mtupa kapuni Msigwa.
Hongera Mr II Kwa ushindi.
 
Wajumbe ni Viongozi wa kuu wa mkoa.
wakati mie nagombea kura za maoni wajumbe jimboni walikua 888🐒

wajumbe mkoa mzima chini ya 150, mbona ni wachache sana kamanda, you must rethink on reforming that 🐒
 
TAKUKURU haihusiki na CHADEMA, kwani hao wanajimaliza wenyewe. Maana katika chaguzi kuu zilizopita CHADEMA ilijibainisha kama wapinga RUSHWA, leo wao ndio wala RUSHWA. Hoja ya kuwabwaga 2025 ni rahisi sana
Maana ya TAKUKURU ni nini?
 
Mpunga halafu ashinde kwa kura mbili?
Ndiyo mwanangu yaani wanyetishaji wanasema ilikuwa kufa kupona. Maana sugu aka moto chini kaahidiwa kumwagiwa mipesa na balozi wa usa kuoitia NGO ya mbowe.
 
Wananiita Sugu!!! Nani!!

Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu akimuangusha Mch. Msigwa.

Mbowe ametumia makada wake wakongwe kujiimarisha madarakani. Sugu na Mbowe wanajuana tangu enzi ya Club Bilicanas
View attachment 3003051
Wananiita sugu ,naniii
Wananiita sugu ,nanii
Sugu sugu
 
Back
Top Bottom