Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa na Sugu sidhani kama watakaa meza moja tena...

Kuna mmoja ni mpambe/chawa na mwingine mwanasiasa halisi..

Kwa kawaida chawa hujivunia vijembe na kejeli kila anapopiga hatua...

Na hilo ndilo tatizo lenyewe.
 
Wananiita Sugu!!! Nani!!

Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu akimuangusha Mch. Msigwa.

Mbowe ametumia makada wake wakongwe kujiimarisha madarakani. Sugu na Mbowe wanajuana tangu enzi ya Club Bilicanas
View attachment 3003051
Hongera Sugu kwa ushindi huo na pia hongera Msigwa kwa kuonyesha ushindani mkubwa.

Sasa makamanda tujipange kujenga chama kwa ajili ya kushinda uchaguzi ujao dhidi ya maCCM.
 
Sasa chiembe kama wanajuana au hawajuani,hivi unajua au hata kuwahi kufuatilia chaguzi/chafuzi zenu za ndani au hata nje hapo kijani kweli🤔
Hiyo mada ya chaguzi za chama chako cha CCM ni ya siku nyingine
 
Hongera Sugu kwa ushindi huo na pia hongera Msigwa kwa kuonyesha ushindani mkubwa.

Sasa makamanda tujipange kujenga chama kwa ajili ya kushinda uchaguzi ujao dhidi ya maCCM.
Nasikia Lissu kesho anaandaa mkutano kutangaza kujiondoa chadema yeye na genge lake, aende, hicho chama sio cha alizeti, ni cha kahawa na ndizi
 
Msimamizi alibadilishwa?
Yaani Mbowe amuondoe John Mrema, mtu wake wa ndani sana anayemtuma engo ngumu! Aaahhh wapi bhana, chama chetu hatukikabidhi kwa Chasaka
 
Nasikia Lissu kesho anaandaa mkutano kutangaza kujiondoa chadema yeye na genge lake, aende, hicho chama sio cha alizeti, ni cha kahawa na ndizi
Kama akijiondoa wewe kinakuuma nini mkuu? Mbona unakuwa na kimuhemuhe kama mwanamke mwenye mimba changa? Meza limau utapona.
 
Back
Top Bottom