Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwakani naye diamond platnumz apewe uwaziri 🤡🤡🤡🤡
 
Hongereni Chadema kwa kuonesha ukomavu wa kisiasa. Hawa wanaopayuka hovyo humu ndani ni chawa waliopagawa kwani hawakutegemea kuwa huo uchaguzi ungefanikiwa na kufanyika kwa uhuru na amani kama ulivyofanyika.

Kwa siku mbili tatu mmeweza, pamoja na zuio la CCM kwa vyombo vya habari, kuripoti mikakati yenu katika kuwakomboa wananchi, uchaguzi huu umewaanika walivyo na roho mbaya. Hongereni sana na bye bye CCM, adui namba wani wa taifa.
 
Kama nakumbuka vizuri hata Heche aliwahi kushindwa kwenye uchaguzi kama huu. Nahisi Msigwa ameponzwa na kuingilia mgogoro uliokuwepo Mbeya. Atakuwa bado Mjumbe wa Kamati Kuu kama alivyokuwa Heche.

Amandla...
 
Kwa mujibu wa Ayo TV Sugu amepata 51% na kumbwaga mchungaji Msigwa aliyepata 49%

Mlale Unono 😄😄🔥🌹

Kongole kwake na kwa chama in general.

Wavunje kambi wawe kitu kimoja na Mchungaji Peter Msigwa kukiimarisha chama wazike tofauti zao za kwenye kampeni.

Kwa Joseph Mbilinyi ajue tu kuwa anapaswa kujenga umoja kwenye Kanda ya Nyasa hasa kwa wababa, wamama na vijana ambao ndio wapigakura wengi.
 
Back
Top Bottom