Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa siku mbili tatu mmeweza, pamoja na zuio la CCM kwa vyombo vya habari, kuripoti mikakati yenu katika kuwakomboa wananchi, uchaguzi huu umewaanika walivyo na roho mbaya. Hongereni sana. Bye bye CCM, adui namba one wa taifa.
Bado sana. Tusianze kushangilia mapema hivi. Kazi ngumu sana inawasubiri CHADEMA.
Tuwape pongezi kwa hili, na kuwatakia safari njema sana katika harakati za kumwondoa mkoloni huyu aliyeliteka taifa letu.
 
Kama akijiondoa wewe kinakuuma nini mkuu? Mbona unakuwa na kimuhemuhe kama mwanamke mwenye mimba changa? Meza limau utapona.
Sisi chadema inatuuma sana
 
Hapo hakuna mshindi! Tofauti ni ndogo!
Nilìtaka kujua kama Pastor ameyapokea matokeo hayo?
Amempa pongezi Sugu?
Anyway! Waache tofauti zao wajenge chama.
 
Back
Top Bottom