Juzi alikua anacheza nao hukuona??Jamani aliyepata komonio ya kwanza au kucheza na tulia akson Mbeya aje hapa atwambie maana tumemsikia sugu
Kasoma sisimba, Mbeya day kauza mitumba docks, kitaa ana masela kibao kwaiyo yeye Mbeya si wakuja anavyodai
Haya sasa kwako mama tukinao a.k.a betina tuambie wewe Mbeya mjini umesoma wapi, umecheza wapi masela wako tukipita mitaa ya Mbeya wapo uliocheza nao
😂😂😂😂😂Juzi alikua anacheza nao hukuona??
Tulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete NjombeJamani aliyepata komonio ya kwanza au kucheza na tulia akson Mbeya aje hapa atwambie maana tumemsikia sugu
Kasoma sisimba, Mbeya day kauza mitumba docks, kitaa ana masela kibao kwaiyo yeye Mbeya si wakuja anavyodai
Haya sasa kwako mama tukinao a.k.a betina tuambie wewe Mbeya mjini umesoma wapi, umecheza wapi masela wako tukipita mitaa ya Mbeya wapo uliocheza nao
Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakingaTulia amesoma tukuyu, ni mnyakyusa halisi, sugu ni mkinga kwao makete njombe
Kuna maeneo hapa nchini, hata hivyo vyombo vya dola vinashindwa vianzie wapi kufanya uharifu wao.Yote mema, cha msingi haki itendeke...vyombo vya dola visimame kati kutenda haki
Sugu mkinga wa sae tulia mnyakyusa wa tukuyu so tulia arudi tukuyu ndio wanamjuaTulia amesoma tukuyu, ni mnyakyusa halisi, sugu ni mkinga kwao makete njombe