Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga
Huo ni mtazamo wa mtu aliyejawa na ubaguzi. Mtanzania ana haki ya kugombea uongozi mahali popote ili mradi awe na sifa.
 
Back
Top Bottom