Don Nzoko
JF-Expert Member
- Jan 6, 2020
- 308
- 306
kipi unachohitaji kwake ikiwa WW mwenyewe ushajua usiku bibiHata nikisema sugu sipati chichote kutoka kwake, unless mnikumbushe nilichoambulia ni kama nimesahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipi unachohitaji kwake ikiwa WW mwenyewe ushajua usiku bibiHata nikisema sugu sipati chichote kutoka kwake, unless mnikumbushe nilichoambulia ni kama nimesahau
Yap! Mambo si hayo. Mbeya na mvaa dera wapi na wapi.
Akili zako ziko huko huko, hayakipi unachohitaji kwake ikiwa WW mwenyewe ushajua usiku bibi
Ni kweli, yesu wa chati yupo tayari kumwaga damu ili tu Tulia ashinde.Mwaka huu sugu hapiti mbeya. HASHINDI MARK MY WORDS.
28 Juni 2020
Mbeya, Tanzania
"MIMI NA MBOWE NDO TULIWEKEWA DAU LA JUU, NAGOMBEA MBEYA NIKO TAYARI" SUGU
Mh. Joseph Mbilinyi ameyasema hayo katika mkutano wa ndani kuwashukuru wana wa Mbeya. Kwa kuwatunza na kuwaelekeza viongozi wa CHADEMA wa mjini Mbeya nini wanataka wafanye kufuatana na matakwa ya wananchi waliowachagua.
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020. Nitalinda heshima niliyopewa na wanaMbeya maana hakuna thamani inayolingana na heshima hiyo kubwa waliyompatia kwa kuwa na imani naye.
Miaka 5 haikuwa lelemama na heshima kubwa iwaendee madiwani kwa kufanya kazi bila woga. CCM Mpya wasahau kupewa uongozi ktk jimbo la Mbeya maana wananchi bado wana imani na uongozi wa CHADEMA 2020 -2025.
Pamoja na mikutano kuzuiwa kwa miaka 5 lakini CHADEMA bado ni imara na tishio kwa CCM Mpya kiasi kuwa mpaka sasa hakuna mwanachama wa CCM Mpya aliyediriki kusema au kutangaza atagombea jijini Mbeya bali wanaonekana wakipitapita lakini wakiulizwa na wanaCCM kama watatia nia wanabakia kusema muda bado CCM Mpya kusema waziwazi.
Woga huo wa CCM Mpya kushindwa mpaka sasa kujitangaza kugombea waziwazi Mbeya ni dalili kuwa hawana chao 2020 jijini Mbeya.
Shukrani kwa imani ya wananchi wa Mbeya juu ya viongozi wao wa CHADEMA waliowachagua na kuwa nao bega kwa bega na CHADEMA katika kila hali.
Source : Millard Ayo
Baada ya mapambano makali ya CCM na CHADEMA saizi ni muda wa kuangalia movie maana tuliweka wasiwasi kwenye kila kitu ili kuhakikisha CHADEMA inapata walau wabunge wawili kwenye uchaguzi wa 2020.. Kwa vulumai zilizopo Mbeya ni muda ya SUGU kusaidia CCM ipite bila kupigwa maana naye amekamilisha miaka 10…Akili zako ziko huko huko, haya
28 Juni 2020
Mbeya, Tanzania
"MIMI NA MBOWE NDO TULIWEKEWA DAU LA JUU, NAGOMBEA MBEYA NIKO TAYARI" SUGU
Mh. Joseph Mbilinyi ameyasema hayo katika mkutano wa ndani kuwashukuru wana wa Mbeya. Kwa kuwatunza na kuwaelekeza viongozi wa CHADEMA wa mjini Mbeya nini wanataka wafanye kufuatana na matakwa ya wananchi waliowachagua.
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020. Nitalinda heshima niliyopewa na wanaMbeya maana hakuna thamani inayolingana na heshima hiyo kubwa waliyompatia kwa kuwa na imani naye.
Miaka 5 haikuwa lelemama na heshima kubwa iwaendee madiwani kwa kufanya kazi bila woga. CCM Mpya wasahau kupewa uongozi ktk jimbo la Mbeya maana wananchi bado wana imani na uongozi wa CHADEMA 2020 -2025.
Pamoja na mikutano kuzuiwa kwa miaka 5 lakini CHADEMA bado ni imara na tishio kwa CCM Mpya kiasi kuwa mpaka sasa hakuna mwanachama wa CCM Mpya aliyediriki kusema au kutangaza atagombea jijini Mbeya bali wanaonekana wakipitapita lakini wakiulizwa na wanaCCM kama watatia nia wanabakia kusema muda bado CCM Mpya kusema waziwazi.
Woga huo wa CCM Mpya kushindwa mpaka sasa kujitangaza kugombea waziwazi Mbeya ni dalili kuwa hawana chao 2020 jijini Mbeya.
Shukrani kwa imani ya wananchi wa Mbeya juu ya viongozi wao wa CHADEMA waliowachagua na kuwa nao bega kwa bega na CHADEMA katika kila hali.
Source : Millard Ayo
Yap! Mambo si hayo. Mbeya na mvaa dera wapi na wapi.
Hongera Sugu ulianza Safari na sisi na umemaliza Safari salama.
Mheshimiwa Sugu wewe ni shujaa umeweza kuruka viunzi vingi ikiwemo kukataa kuunga mkono juhudi.
Tutakuchagua tena kwa kura nyingi kuliko za Rais wa Zanzibar,mwambie yule mwanamama number 2 mjengoni atafute jimbo lingine Mbeya hana nafasi labda agombee udiwani.
Jamani aliyepata komonio ya kwanza au kucheza na tulia akson Mbeya aje hapa atwambie maana tumemsikia sugu
Kasoma sisimba, Mbeya day kauza mitumba docks, kitaa ana masela kibao kwaiyo yeye Mbeya si wakuja anavyodai
Haya sasa kwako mama tukinao a.k.a betina tuambie wewe Mbeya mjini umesoma wapi, umecheza wapi masela wako tukipita mitaa ya Mbeya wapo uliocheza nao
Mwaka huu sugu hapiti mbeya. HASHINDI MARK MY WORDS.
Tulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete Njombe
SUGU NI KAMA MVUA IKIAMUA KUNYESHA INANYESHA! Wanamuita suguuu naniii wanamuita suguuu...