Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Mbeya mjini siyo ya wanyakyusa, Mbeya ni ya wasafwaTulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete Njombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya mjini siyo ya wanyakyusa, Mbeya ni ya wasafwaTulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete Njombe
Kuna wanaume wana roho ngumu aisee!Sugu most voters again 2020-2025
Flat screen no one can choose
Yule sugu ni mhuni na mvuta bangi tu anazojisifia nazo hapo kwenye wimbo wake japo ukweli katetea nchi sana bungeni ila bahati mbaya Mbeya inahitaji mawazo makubwa mapya. Mama Tulia atatuliza jimbo na ushawishi wake serikalini ni mtaji kwa wana Mbeya wasiitupe dhahabu hiyo watapata miradi mipya mikubwa ya kimkakati toka kwa Magu wakiwa na Mama Tulia badala kuhangaika na msela Sugu bila faida yoyote, tajiri ni wa kukumbatia tu siku zote, tajiri hanuniwi!! Mbeya chukueni Mama mle keki ya nchi naninyi ubishi wenu kumchagua Sugu mnarudishwa nyuma kimaendeleo! amkeni!sugu moto chini.
CCM mna siasa za hatari sana. Ni ujinga tu wa Watanganyika ndio maana mnachekewa ila kiukweli mna roho za uharibifu!Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga
Mama Tulia atatuliza jimbo na ushawishi wake serikalini ni mtaji kwa wana Mbeya
usiongee ujinga kwenye kadamnasi kujipendekeza ndo ujanja wa mjini ndugu! we huoni Mwigulu na Bashe walijipendekeza hivi sana wanakula nchi tu!! ubishi huleta umaskini na majanga tu!!Mbeya hatujipendekezi serikalini sisi siyo wagogo
Wale wabibi ndiyo alisoma na kucheza nao?Juzi alikua anacheza nao hukuona??
28 Juni 2020
Mbeya, Tanzania
"MIMI NA MBOWE NDO TULIWEKEWA DAU LA JUU, NAGOMBEA MBEYA NIKO TAYARI" SUGU
Mh. Joseph Mbilinyi ameyasema hayo katika mkutano wa ndani kuwashukuru wana wa Mbeya. Kwa kuwatunza na kuwaelekeza viongozi wa CHADEMA wa mjini Mbeya nini wanataka wafanye kufuatana na matakwa ya wananchi waliowachagua.
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020. Nitalinda heshima niliyopewa na wanaMbeya maana hakuna thamani inayolingana na heshima hiyo kubwa waliyompatia kwa kuwa na imani naye.
Miaka 5 haikuwa lelemama na heshima kubwa iwaendee madiwani kwa kufanya kazi bila woga. CCM Mpya wasahau kupewa uongozi ktk jimbo la Mbeya maana wananchi bado wana imani na uongozi wa CHADEMA 2020 -2025.
Pamoja na mikutano kuzuiwa kwa miaka 5 lakini CHADEMA bado ni imara na tishio kwa CCM Mpya kiasi kuwa mpaka sasa hakuna mwanachama wa CCM Mpya aliyediriki kusema au kutangaza atagombea jijini Mbeya bali wanaonekana wakipitapita lakini wakiulizwa na wanaCCM kama watatia nia wanabakia kusema muda bado CCM Mpya kusema waziwazi.
Woga huo wa CCM Mpya kushindwa mpaka sasa kujitangaza kugombea waziwazi Mbeya ni dalili kuwa hawana chao 2020 jijini Mbeya.
Shukrani kwa imani ya wananchi wa Mbeya juu ya viongozi wao wa CHADEMA waliowachagua na kuwa nao bega kwa bega na CHADEMA katika kila hali.
Source : Millard Ayo
Haichezwi ukubwaniJuzi alikua anacheza nao hukuona??
Hizo siasa za kikanda ndiyo zilimwangusha Mpesya (mbunge aliyepita) 2010. Kila alipohoji uenyeji wa Sugu alionekana mbaguzi. Fanyeni siasa safi. Kila mtu ana haki ya kugombea popote pale.Jamani aliyepata komonio ya kwanza au kucheza na tulia akson Mbeya aje hapa atwambie maana tumemsikia sugu
Kasoma sisimba, Mbeya day kauza mitumba docks, kitaa ana masela kibao kwaiyo yeye Mbeya si wakuja anavyodai
Haya sasa kwako mama tukinao a.k.a betina tuambie wewe Mbeya mjini umesoma wapi, umecheza wapi masela wako tukipita mitaa ya Mbeya wapo uliocheza nao
bila ubishi mpaka leo Afrika ingekuwa ipo chini ya ukoloni wa Mjerumani, bila ubishi Afrika Kusini mpaka leo ingekuwa chini ya utawala wa makaburu.usiongee ujinga kwenye kadamnasi kujipendekeza ndo ujanja wa mjini ndugu! we huoni Mwigulu na Bashe walijipendekeza hivi sana wanakula nchi tu!! ubishi huleta umaskini na majanga tu!!