Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

sugu moto chini.
Yule sugu ni mhuni na mvuta bangi tu anazojisifia nazo hapo kwenye wimbo wake japo ukweli katetea nchi sana bungeni ila bahati mbaya Mbeya inahitaji mawazo makubwa mapya. Mama Tulia atatuliza jimbo na ushawishi wake serikalini ni mtaji kwa wana Mbeya wasiitupe dhahabu hiyo watapata miradi mipya mikubwa ya kimkakati toka kwa Magu wakiwa na Mama Tulia badala kuhangaika na msela Sugu bila faida yoyote, tajiri ni wa kukumbatia tu siku zote, tajiri hanuniwi!! Mbeya chukueni Mama mle keki ya nchi naninyi ubishi wenu kumchagua Sugu mnarudishwa nyuma kimaendeleo! amkeni!

huyu Sugu hatakiwi kurudi bungeni ni mhuni , ni msela, hana adabu na hana hadhi ya ubunge , tume ya uchaguzi mnadhalilisha nchi kwa kupitisha watu kama hawa kuwa wabunge, kazi yao kutukana tu bungeni! kwani siku hizi magoli ya mkono yamesitishwa?
 
Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga
CCM mna siasa za hatari sana. Ni ujinga tu wa Watanganyika ndio maana mnachekewa ila kiukweli mna roho za uharibifu!
 
Mbeya hatujipendekezi serikalini sisi siyo wagogo
usiongee ujinga kwenye kadamnasi kujipendekeza ndo ujanja wa mjini ndugu! we huoni Mwigulu na Bashe walijipendekeza hivi sana wanakula nchi tu!! ubishi huleta umaskini na majanga tu!!
 
Huyu mama anabebwa na dola lakini tume ikiwa huru hata akigombea na kichaa kichaa atapita kwa kura nyingi sn
 
ELIMU YA MALEBO



Leo tuangalie Malebo mawili ya WADAIWA SUGU na VYETI FEKI



Kama jina lako lipo hapa nawe linakuhusu kwa asilimi 200 perfect maana wengine wanazuia wengine wanaendelea kupaka rangi ili yangae



VYETI FEKI

Orodha ya Watumishi Wenye Vyeti Feki

Mie nipo ni kama LEBO INANIHUSU kushangilia raha lakini tutaenda kwa WAGANGA WA KIENYEJI huwaga wanasema MHAYA/MPOLE/MYATULU HUYOOO USISAHAU MWANAJESHI (WALE WA SPECIALIZATION ZA MAJINA MPOO)



WADAIWA SUGU

http://zanzibar24.co.tz/wp-content/uploads/2016/11/ORODHA_YA_WASUGU_1.pdf



KWA LEBO HIZI NATHANI KUNA MAISHA YA UGAIDI WA KUSAFISHA MAJINA kila la kheri wale wanaopenda kuwa perfect asilimia 100



NI BORA ATAKAYEKAMATWA NA KUELEWA KWA LAZIM A NITAMJENGEA GHOROFA BAHARINI ILI ALE MAISHA KWA AJILI YA MSWALA AU MKEKA WA UONGOZI TANZANIA






WAONGO NA WADANGANYIFU
 
Hizo siasa za kikanda ndiyo zilimwangusha Mpesya (mbunge aliyepita) 2010. Kila alipohoji uenyeji wa Sugu alionekana mbaguzi. Fanyeni siasa safi. Kila mtu ana haki ya kugombea popote pale.
 
usiongee ujinga kwenye kadamnasi kujipendekeza ndo ujanja wa mjini ndugu! we huoni Mwigulu na Bashe walijipendekeza hivi sana wanakula nchi tu!! ubishi huleta umaskini na majanga tu!!
bila ubishi mpaka leo Afrika ingekuwa ipo chini ya ukoloni wa Mjerumani, bila ubishi Afrika Kusini mpaka leo ingekuwa chini ya utawala wa makaburu.

nakushauri uache kujipendekeza.
 
Mbeya nchi rais sugu.

Yani kama nawaona wana mbeya kama wakalazimisha matokeo kwa kumtangaza mwingine!!!
 
Tulia na umbo la jiti, ataangaika sana.
Madudu aliofanya bungeni kumfuraisha Magufuli, imemuondelea sifa ya kuchaguliwa kwa kura asubiri tu, tume na polis wampitishe kibabe.
Tulia hana sifa wala uwezo wa kushinda Uchaguzi.
 
Hata nikisema sugu sipati chichote kutoka kwake, unless mnikumbushe nilichoambulia ni kama nimesahau
 
yaaaaaaaaah mbeya ndo alama ya wasouth Afrika na cyo songea wanaodhaniwa wasouth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…