Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

Nilifkr cdm wataenda kinyume na kawaida ya vyama vingine ,awamu mbili zinatosha aachie wengine
 
Mm naona wabunge ambao washagombea misimu miwili tayar washapata exposure ya kutosha ya kujiajiri.. wawaachie vijana wengine nao wapate shavu.. sasa mtu km lukuvi, mpango,kabudi, mkuchika, mwigulu,mbowe, ****** na wengine wengi n nn walichobakiza kwenye haya maisha? Km ni maisha ya hapa na pale tayari wanayo.. wawape wengine nao wapate fursa. Ni muda wa wazee kupumzika na kuwapa vijana fursa ya nafasi hizo pia! Waache kuwa vinag'ang'anizi km Wasira!
 
Hivi Mama kairuki yeye atagombea jimbo gani wakuu?
 
Baada ya mapambano makali ya CCM na CHADEMA saizi ni muda wa kuangalia movie maana tuliweka wasiwasi kwenye kila kitu ili kuhakikisha CHADEMA inapata walau wabunge wawili kwenye uchaguzi wa 2020.. Kwa vulumai zilizopo Mbeya ni muda ya SUGU kusaidia CCM ipite bila kupigwa maana naye amekamilisha miaka 10…

Watu wa interest mlisahau hii movie

Akili zako ziko huko huko, haya

Gombea tu Ila hushindi, mbeya hatutaki mbunge kilaza Safari hii
 
28 Juni 2020
Kilosa, Morogoro
Tanzania

CHADEMA kina wabunge wanaokubalika sana na wananchi. Kwa kifupi waBunge wa CHADEMA ni wabunge wa 'Taifa' kama ambavyo mbunge Joseph Haule alipozungumza mbele ya Rais Magufuli na mbunge Joseph Haule Prof. Jay kushangiliwa sana .

Betina ajiandae kurudi kwenye jimbo lake la magogoni
 
Hata udiwani hawezi kuupata kwa jinsi tulivyo jipanga wana mbeya. Hatuihitaji kabisa ccm hapa
 
Hana hata aibu huyo Betina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…