Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 24, 2020 #81 allypipi said: Kwel izo akili nazoo. Click to expand... Sawa
W Wamkopeka Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 136 Reaction score 308 Jul 24, 2020 #82 YEHODAYA said: Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga Click to expand... Huo ni mtazamo wa mtu aliyejawa na ubaguzi. Mtanzania ana haki ya kugombea uongozi mahali popote ili mradi awe na sifa.
YEHODAYA said: Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga Click to expand... Huo ni mtazamo wa mtu aliyejawa na ubaguzi. Mtanzania ana haki ya kugombea uongozi mahali popote ili mradi awe na sifa.
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,786 Reaction score 5,963 Jul 24, 2020 #83 Sasa kwanini asiende kugombea Tukuyu(Rungwe).? Laki Si Pesa said: Tulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete Njombe Click to expand...
Sasa kwanini asiende kugombea Tukuyu(Rungwe).? Laki Si Pesa said: Tulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete Njombe Click to expand...