Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Tanzania hatujazowea hayo mambo hata kidogo, polisi kuingilia siasa ambayo sio kazi yao ni makosa makubwa,
Umeanza lini siasa? Miaka ya Jakaya ilikuwaje? Kule Arusha ilikuwa ni vulumai Kila mwezi na kina Lema.

Lema Kwa Sasa amezeeka majukumu yamemzidi hawezi rudia ule ujinga.
 
Yaani Mimi nimlilie Magu ni baba yangu? Waliokuwa mnanufaike nae ndio mlilieni mjaze machozi kwenye mapipa.
 
Hakuna kitu kama hicho Watz tuko makini sana na wanasiasa uchwara kama kina Sugu, Lissu nk.
Zamani wakati sijui sura ya mwanasiasa ndio nilikuwa naona ni watu wa maana wanapigania maisha yangu,tangu nimekuwa mkubwa nikajua Kila mtu na tumbo lake,nasema wavinjane migongo Kila mtu anapambania tumbo lake
 
Either hii nchi askari wana elimu za chini sana au wanapokea amri tu na kutekeleza bila kujali chochote.
Ila ni aibu kujiita nchi ya demokrasia isee.. hii ni nchi ya chama kimoja mono party ni nora tujiweke hivyo.
 
Kabla ya yeye SUGU kuwa mbunge mbona maendeleo hayakuwepo?
Baada ya 2020 mbunge anayeongoza amewafanyia kitu gani?
Acha ujuaji wa Kikei wewe dogo.
Unadhani Mbeya ni mali ya mama yako?
Maendeleo ya Sugu miaka 10 ni yapi hayo?

Kama uko Mbeya unaweza hoji maendeleo aliyoleta Tulia?

Mwisho sidhani kama Mbeya watu wote ni mapumbavu kama wewe kiasi Cha kugeuzwa vilinge vya wanasiasa uchwara kutafutia headlines
 
CCM ndo hiyo hiyo hakuna tafauti baina ya magufuli na Samia bila uhuni CCM haiwezi shinda uchaguzi wowote.
 
Kwani ni kazi ya mbunge kuleta maendeleo ya moja kwa moja?
Mbunge anakusanya kodi?
Au ndio mnataka kuzaliwa wabunge machawa wanaosifia kila kitu ili serikali ifanye maendeleo jimboni kisha mseme mbunge amefanya??
Tumia akili aiseee,acha UCHAWA wewe bado ni kijana.
 
Hivi mnajua kwa nini askari wengi wanakufa mapema sana baada ya kustaafu.

Lakini pia Kuna kijana mmoja maarufu sana alikua anashiriki mateso ya wengine, mnajua alipo? Mnajua hali yake?

Muache Mungu aitwe Mungu, Kuna wakati binafamu tunapewa maonyo lakini TU ajifanya vipofu.

Biblia inasema " Ole wao wawatendao vibaya wadogo Hawa"
 
Sugu kashakua sugu haezi kuumia .
Kama wamezingua wacha wachapwe kidogo akili ziwakae sio kila cku cc wananchi wa kawaida tuh ndio tupigwe makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…