Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Sugu nae aache mambo kama ya Suarez kwenye mpira, maana hata akiguswa kidogo tu, anajifanya kavunjwa mguu wote..!! Aache

Hahaha nimefurahi mno maana sisi wakati tunaomboleza kifo cha Dkt Magufuli ninyi mlikuwa mnashangilia hahaha na bado
Yeye sugu alikuwa analipi alilofanya achukiwe na anaowaongoza?

Kama Magufuli alifanya uongozi wake watu wasimpende hilo nikosa lake.

Kama mliona sugu amevunja sheria mngempeleka mahakamani akashitakiwa na kufungwa.
 
Yeye sugu alikuwa analipi alilofanya achukiwe na anaowaongoza?

Kama Magufuli alifanya uongozi wake watu wasimpende hilo nikosa lake.

Kama mliona sugu amevunja sheria mngempeleka mahakamani akashitakiwa na kufungwa.
Hakuna kipigo kwanza yaani hawa ni vipigo tu mpaka tengua viuno
 
Acha kumuongelea marehemu kwa upuuzi namna hiyo.....jikite kwenye hoja... 😎
 
mbona kwenye kikao na rpc mbeya alikuwa vizuri tu, itakuwa presha tu imempanda, uhai wa mtu ni bora kuliko siasa zetu tumwombee apone haraka familia inamtegemea
 
Augue pole
Apone haraka
 
Huyu Mzanzibar asipewe u IGP hata kama cheo hakina mtu na amebaki peke yake! Wanakuja Tanganyika kutuumizia ndugu zetu? Huyu mother naye si atumie akili hata kidogo tu aliyo nayo?
 
Hata HH wa Zambia akiwahi kupigwa na polisi na kulazwa kifudifudi kwenye karandinga, lakini kiko wapi sasa?
 
Ila huu uzi una chumvi nyingi mno, ila poa tuu mana wengine tukiongea tutaonekana haters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…