Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Hata mim nimefurahi sana kama wao walivyofurahi Magufuli alipofariki tena wangevunja miguu yote miwili na mikono..
 
Unajua maana ya mahututi ww
 
CHADEMA imekuwaje sugu bado hataki kuwa na walinzi binafsi

Vijana 500 wapo wamezubaa viongozi wao wanaumizwa
 
Sugu alishambuliwa na Polisi na kuumizwa sana lakini shambulio hili limemuongezea umaarufu sana. Kwa kitendo hiki Wana Jimbo la Mbeya Mjini wako nyuma ya Sugu kwa asilimia 100 na uchaguzi unaokuja 2025 Sugu atashinda uchaguzi huu saa tatu asubuhi. Wanaotafuta Ubunge Mbeya Mjini mjipange sana.
 
Sometimes you gotta fight when you're a man"
 
Sugu tatizo lake kubwa ni kama bumunda hajui kujenga hoja zaidi ya kufoka foka na kauli zenye dhihaka. Asubiri hotel yake inaenda kubomorewa
 
Duu hao walikuwa polisi kweli, mbona polisi wetu ni waadilifu sana? Tena hawabagui vyama vya siasa?
 
Polisi bana sijui watabadilika lini

Ova
 
Bure kabisa kuwa mfuasi wa chadema ,sugu hajui status yake ndani na nje ya nchi ,uhuni mwingi sana, Sasa neno mazaga ndo nini.

Nilidokezwa eti chadema wakichukua madaraka sugu ndo PM, PM mhuni,never ever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…