shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Hahaha nimefurahi mno maana sisi wakati tunaomboleza kifo cha Dkt Magufuli ninyi mlikuwa mnashangilia hahaha na badoWewe umepata nini kwa Sugu kupigwa?
.umaskini ni mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nimefurahi mno maana sisi wakati tunaomboleza kifo cha Dkt Magufuli ninyi mlikuwa mnashangilia hahaha na badoWewe umepata nini kwa Sugu kupigwa?
.umaskini ni mbaya sana
Ndiye huyo kaletwa bara kutunyoshaDuuh Huyu Kamanda Awadhi aliyekuwa RPC Zanzibar?
Mtanikumbuka 🐼Heri kuishi na shetani kuliko watu wa chama cha mbogamboga.
Unafanya masihara na afya za watu si ndio?duh na ubonge wote ule kapigwa hadi mahututi? kwa maana kumpeleka mtu over weight kama yule chini unahitaji equal and opposite amount of force au zaidi, kweli duniani kuna mambo …
Na choice variable ndio hao hao isione wako humu ukadhani ni wanasiasa
Mkuu inaonekana hujui mambo hao wamepewa maji, ardhi na vilivyomo hutawasikia.Watu wa haki za binadamu wapo, Balozi za kimataifa zipo, mahakama za kimataifa zipo, taasisi za kimataifa zipo. KUSANYA USHAHIDI FILE KILA KITU KULE.
Tanzania yetu maskini😭Mpaka hapa bado tunahitaji kujua ni kina nani wanahusika na matukio ya watu kupotea au kutekwa?
Utasubiri sanaHahaha nimefurahi mno maana sisi wakati tunaomboleza kifo cha Dkt Magufuli ninyi mlikuwa mnashangilia hahaha na bado
More bad news for Tanzania democracySUGU YUPO MAHUTUTI HOSPITALI,DAR ES SALAAM.
1.Sugu anaongea kwa taabu sana na Sauti ya chini sana, kutoka Hospitali binafsi aliyopelekwa leo asubuhi.
2.Sugu alivamiwa na kupigwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadhi binafsi siyo kwa kutuma askari wa chini,
Kuanzia nje ya ofisi za Kanda ya Nyasa, Mkoani Mbeya kwa kushambuliwa kwa makofi baadae akawa anatumia rungu kabla ya askari wengine kuja kujumuika na Kamishina Awadhi Haji
3.Kamishina Awadhi Haji aliacha Kumpiga Sugu baada ya Askari wengine wengi kuja kuja kumsaidia kumshambulia Sugu sehemu mbalimbali za mwili wake.
4.Kamishina Awadhi Haji alipoacha kumpiga Sugu alihamia katika kumpiga Katibu Mkuu John Mnyika, ambapo alikuwa Mnyika anavutwa kwa nguvu na askari wanamuita mheshimiwa
Kamishina Awadhi ndiyo alikuwa mtu wa kwanza pia kumpiga Katibu Mkuu Mnyika huku akiwafokoea askari wengine kuita Mnyika Mheshimiwa,
"Waheshimiwa wapi hawa, hawa ni wahuni tu, wanataka kuvuruga amani ya nchi. Wanachezea nchi."
5. Katibu Mkuu John Mnyika na Sugu walipandishwa katika Landcruiser hardtop Pickup kwa kuwalaza kifudifudi na juu askari zaidi ya 8 waliokuwa nyuma waliwakanyaga kuanzia Mbeya hadi Makambako
Njiani, Mnyika na Sugu walipokuwa wanajitahidi kutengeneza mazingira ya kuweza vichwa vyao vizuri waweze kupua walipigwa sana marungu ya miguuni na migongoni.
6. Katibu Mkuu Mnyika alishushwa Makambako, kisha Sugu aliendelea na safari akiwa amelazwa pale chini kifudifudi vilevile.
7.Muda wote wa safari, askari waliokuwa wanawasindikiza Mnyika na Sugu walikuwa wamevaa vinyago "mask"
8.Sugu alifikishwa Iringa Juzi majira ya Saa 9 :00 usiku na kuwekwa mahabusu ya pekee yake.
9.Jana majira ya Saa 9 : 00 Jioni walimchukua Sugu kutoka Mahabusu ya Kituo cha Polisi Central, Iringa kwenda Dar es Saalam wakiwa na gari ndogo.
10 Majira ya Saa 5 :00 usiku Polisi walimfikisha Sugu katika kituo cha Polisi Central, Dar es saalam, akiwa anaumwa kiasi cha wao kuogopa kumuweka Mahabusu wala kumpa neno lolote.
11.Polisi Central, Dar es saalam walioona hali mbaya ya sugu tangu ashushwe katika gari kutokea Iringa waligoma kumpa PF (Kibali cha kwenda kutibiwa) na Waligoma wao kumpeleka Hospitali, Walimuitia teksi wakailipa Tsh 7,000/= Dereva atafute sehemu ya kulaza wageni ampeleke Sugu.
12. Kwa sasa Sugu yupo katika Matibabu, baada ya kupata majeraha sehemu za Mgongoni, Mbavuni, Kichwani na Miguuni sehemu ya ugoko.
13.Mwisho, sugu na Mnyika wameibiwa simu zao zote pamoja na fedha kiasi cha Dollar elfu tano na shilingi milioni 3 za Kitanzania.
Boniface Jacob (Ex Mayor)
Very very badMore bad news for Tanzania democracy
Kwani we mgeni Tanzania purukushani za Sugu hazijaanza leo, badala ya kumuonea huruma billionaire jionee huruma wewe na familia yako kwanini hujafika level ya Sugu.Hongera zake Sugu kwa kupata kipigo cha mbwa koko. Nadhani sasa wataelewa maana halisi ya mamlaka ya rais. Alipofariki Dkt Magufuli sugu na genge lake walifanya sherehe za kupongezana na kumsifia sanaaa Dkt Samia. Ila wakasahau kuwa aliyefariki ni mmoja na mfumo wote upo kama ulivyo. Sasa naona watakumbuka na kumkumbuka Dkt Magufuli alivyokuwa anawapenda. Tunamtakia afya njema aje ashuhudie. Na hapo unaweza kuta mbowe ndiyo kaagiza apigwe mpaka afe ili asigombanie nafasi ya uenyekiti