Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Kwa nchi za wenzetu ambako Kuna Watu wengi wanaojitambua, wangegeuza janga hili au changamoto hii 'kuwa fursa.'
 
Yaani ukatili wote huo wanawafanyia binadamu wenzao ili tu ccm waendelee kubaki madarakani waitwe waheshimiwa! Ni ujinga mtupu,hivi hawaoni wenzao wengi wamefanya ukatili dhidi ya wengine lakini hivi sasa wameshaondoka na kuiacha dunia au wao wanafikiri wataishi milele?
 
Mambo wayawezayo policcm ila mpaka sasa hawajui ni nani aliyemteka Sativa, pia hawajawakamata watuhumiwa wawili kati ya 6 waliomdharirisha yule binti wa Yombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…