Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

Mlimse
Mlimsema Magufuli kuwa ndiye aliyekuwa rais katili kuliko Marais wote waliwahi kutokea duniani,na alivyokufa mkafanya sherehe kuwa mnakwenda kula kuku kwa mrija dhalimu hayupo tena, Sasahivi haya mnayatoa wapi maana Mama yenu kipenzi hawezi fanya mambo hayo.Upinzani wa Tanganyika shida tupu tokea akina Mbowe cop,walivyomzunguka Slaa kwa vipande vya pesa,kwa kibadili gia angani kwa kulamba matapishi yao,tokea hapo niliona kuwapa seaport upinzani ni kupoteza mda,acha Samia hawanyooshe tu.
 
Labda labda labda

Wapinzani wameponzwa na maadui wa samiah ndani ya CCM!

Upinzani uliimarika Dana awamu ya nne,he upinzani hasta chadema walitumiwa na wapinzani wa.samiah ndani ya CCM ku destabilize utawala Ili wapate wanachokitaka!!?

Baada ya kina kipara kufurushwa je wapinzani ndio ilikua turufu pekee iliyosalia ku destabilize serikali!!?

Nawaza TU coz hiki kimbunga sio bure Bali ni intelligence Kali sana IPO nyuma ya tukio hili!!
 
Pole zao na familia zao, huu ni mwanzo tu kuelekea maridhiano mengi yanakuja
 
Kwa hiyo Sugu ameona Mbeya ndiyo mahali pa kufanyia mikutano ya hovyo na maandamano?

Hivi anadhani akina Mbowe hawana sehemu Moshi na Hai za kufanyia hii mikusanyiko ya HOVYO?

Hili jitu fupi toka Ludewa limepata mshahara wake linaoustahili. Miaka 2010-20 amekuwa Mbunge wa Hoya Hoya masela. Mbeya imezidiwa na Manispaa za Morogoro na Iringa kwa sababu tulikuwa na mbunge wa kushinda vijiweni. Hajitambui, kazi kushindana na watawala tu.

Akome KUTUHARIBIA Mbeya yetu
 
Kabla ya yeye SUGU kuwa mbunge mbona maendeleo hayakuwepo?
Baada ya 2020 mbunge anayeongoza amewafanyia kitu gani?
Acha ujuaji wa Kikei wewe dogo.
Unadhani Mbeya ni mali ya mama yako?
 
Utapeli kwa misingi ipi?....kwani kiongozi wako MPUMBAVU kiasi hiko mpaka wamtapeli kirahisi rahisi hivyo na mapicha yote Yale? .bila kasahau DHALIMU hayupo tena na Nchi imeshaponywa
Acha Samia hawanyooshe tu tena bado,walimpaka sana matope Magufuli kwa tamaa zao pesa, Sasahivi acha wavune walikuwa wanasema eti baada ya kifo cha Magufuli upinzani utashamiri,tena bora wakati wa Magufuli Sasahivi ndio wanazidi kusinyaa kabisa Samia anawauwa kisayansi na misemo yake ya 4R
 
Mnaanza kutia huruma masikini ya mungu
 
Bahati mbaya au nzuri ni kwamba Chadema mtatumia Polisi Hawa Hawa ikitokea Bahati mbaya mkashika Dola na mtakuwa mnafanya haya haya Kwa Wapinzani wenu.

Kamwe siwezi sympathize na Wanasiasa ikiwezekana uaneni kabisa,I don't care.
 
Watu wa haki za binadamu wapo, Balozi za kimataifa zipo, mahakama za kimataifa zipo, taasisi za kimataifa zipo. KUSANYA USHAHIDI FILE KILA KITU KULE.
Balozi na hao uliowataja ndio walikutuma kukaidi amri halali za Polisi?

Harafu huu ujinga wa kutegemea mataifa ya Nje utawaisha lini? Ndio kwanza mnaonekana mumepandikizwa kuleta taharuki ,hamnaga akili nyie Machadema.

Wengine ni Wagonjwa ila wanajipeleka tuu kana kwamba hawajui kitakachowakuta πŸ˜†πŸ˜†
 
CCM mnalitafuta sio? Mtalipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…