ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hello Wadau..
Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.
Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.
Dkt. Musukuma amesema vyuo mbalimbali vimekuwa vikimualika Ili aende kutoa muhadhara ila hajafanikiwa kwenda Kwa sababu ya Ugumu wa ratiba yake. Miongoni mwa vyuo vinavyomhitaji ni Udsm..
Msukuma amesema yeyote mwenye shaka na uwezo wake basi Wasomi waandae mdahalo wa kiuchumi kati yake Musukuma na huyo profesa wa Chuo Kikuu halafu Wananchi ndio waamue nani ni Mchumi wa kweli na nani ni Mchumi wa makaratasi..🤪🤪
My Take
Msukuma lamatia hapo hapo maana hata wanaojiita wamesoma hakuna cha maana wamefanyia nchi hii zaidi ya Ufisadi na kujidai..
Twende kazi Dkt. Musukuma