Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Zero ya Diamond imeajiri wangapi pale usafini? Huna hata baiskeli achilia hiyo simu ya mama na bado la mchepuko wake… madhara ya kufugwa hayo, utakula mpaka haram… anyways, nisipoteze muda wangu wa thamani kumpigia mbuzi gitaa… totally waste of time, energy and its extremely boring…
We mbwa narudia tena huna shule na hata ungesoma ungeishia kupata zero ndo maana mna hasira sana na wasomi... hiyo kima mwenzio ulomtaja ndo wale wale sahv wanananunua vyeti ili waitwe ma PhD holder...

Nyie ni kima tu.
 
Mbwa ni mama yako aliyezaa mbwa kichaa anayebweka bila kituo, kima ni kivutio cha utalii na kinaingizia pato taifa, wewe msomi fisadi wa kalamu unayelinyonya taifa utaniambia nini mimi muwekezaji darasa la saba? RIP
 
Pamoja na hayo, bado tuipe heshima ELIMU!
Tutafika mahali, tutaona ELIMU haina maana, kisa una fedha, bila kujali umeipataje!
Unaipataje fedha bila elimu? Ukahaba unahitaji hiyo elimu, muziki, mpira na hata issue nyinginezo… tatizo lililopo hapa ni hizo sifa za kujiita wasomi kisa umefika chuo kikuu na huna fedha kumshinda fundi mbao ambaye elimu yake ni ya hizo mbao tu!
 
Jamani hvi mmeshasahau kwamba sisi wasukuma huwa tuna kaushamba ka asili ambako kanatunyemelea kila tuendapo? Ni asili ya ushamba tu inamsumbua huyu mwananzengo mwenzetu!
Kwani ushamba wako lazma uuhusanishe na uskuma wako!?
Au kila mshamba ni msukuma!?
 
Unaipataje fedha bila elimu? Ukahaba unahitaji hiyo elimu, muziki, mpira na hata issue nyinginezo… tatizo lililopo hapa ni hizo sifa za kujiita wasomi kisa umefika chuo kikuu na huna fedha kumshinda fundi mbao ambaye elimu yake ni ya hizo mbao tu!
Nenda kushoto rudi kulia mwisho wa siku target ni hela, gotta make it home to your family… sio vyeti, hakuna mtoto wa binadamu anakula vyeti labda wa panya…
 
Mbwa ni mama yako aliyezaa mbwa kichaa anayebweka bila kituo, kima ni kivutio cha utalii na kinaingizia pato taifa, wewe msomi fisadi wa kalamu unayelinyonya taifa utaniambia nini mimi muwekezaji darasa la saba? RIP
Unajiona ulivyo kima trna wa madoa doa? Mara uniambie nazunguka na bahasha za kaki mara uniambie sina kipato mara hapa unaniita fisadi tushike lipi? Roho inakuuma kwa kisomo changi? Usiumie juu yangu umia juu ya babako alokua mlevi akakosa manii bora akakuzaa wewe mbilikimo kilaza leo unachukis wasomi bila sababu.
 
Hiyo kauli siyo mara ya kwanza kusema,,kwake imeshakuwa kama falsafa kabisa coz interview zake nyingi ukizifatilia ndo huwa kauli mbiu yake hiyo ya kuomba midahalo na ma-profesa,, me nazani kuna haja waje wawekewe huo mdahalo ili tuconclude hizi arguments zingine zisizokuwa na maana.
 
Unataka kusema English ndiyo kipimo cha elimu?
Hivi mtaamka lini nyie?
Hebu nenda china, Korea kusini+ kaskazini.
Ulienda shule ama? Kama ulienda shule haukupaswa kuuliza swali la kimata call kama hili.
 
yuko sawa kabisa binafs sijaona kazi ya wasomi wa nchi hii bora ya msukuma mala 100 kaairi vijana kwenye migodi yake na masi yake kuliko haya yanaojiita masomi kazi wizi tu
Hiyo dola 200 kalipa ya nini?
 
Unachanganya mambo! Huyu hana qualifications ila elimu anayo, pengine kubwa kuzidi hata ile ya kwano wewe uliyetumia miaka kadhaa ukiwa umekaa kwenye viti madarasani
Mimi naona wewe na yeye mpo sawa tu kiakili ni wabishi wapumbav
 
Utafiti na kuleta maañdiko ni products za jamii ila pesa na mali ni za mtu mmoja ataajiri watu siku akifilisika every thing is over.. tunaishi maandiko na kanuni kufanya baashi ya mambo sio pesa za mtu fulani
 
Back
Top Bottom