Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Ulivyo mpumbavu na zezeta umeshindwa hata kuelewa theme ya bandiko lqngu umekimbia kule kule kwenye kichaka chenu cha unyani kima wewe. Soma historia vizuri za hao watu kisha urudi hapa.

Mnapenda sana kujifariji kitoto ila moyoni mwenu mnatamani sana sifa ya kuitwa wasomi, hapo ulipo umeshindwa maana hukua na akili ulikua tutusa au garasa darani mmebaki kujifariji na nyenyenye za kipumbavu!

Kwa taarifa yako mi sio kima kama wewe nipo mbali sana kimaisha sababu ya shule we endelea kuuza ngogwe hapo mabibo kima wewe.

Nimeona reply nyingi ila hii nimeona niseme kitu. “Wasomi ni watu wakuheshimiwa sana ni kweli ila sio kwa kuonesha vyeti”au “Cheo”, Mi hua nasema sikuzote mwenye umuhimu hana haja ya kuaga, unapondoka tu watu wenyewe watakutafuta kwa vilio.

Mr [mention]Lusungo [/mention]kumuelewesha mtu umuhimu wa elimu sio lazima kumtukana asiyekua na elimu, kila kitu ni kipaji hata upate taaluma ipi bila kua na kipawa hutoona wala kugundua zaidi ya yale maarifa ya kwenye vitabu ulivosoma, mi nikupe mfano watu walioko mule BASATA wanaelimu sana kuliko Diamond ndio ila jiulize ni nani mwenye impact zaidi kwenye jamii yule wa BASATA au Diamond?!

Ila je?! Ruge mutahaba unaweza kumlinganisha na uyo Diamond? Au hao watu wa BASATA! Jibu ni hapana maana ye alitengeneza njia ya wengi kupita na kufikia ndoto zao kupitia elimu na maarifa yake, japo uyo mtu anaweza sema ye anaweza, sababu kapitisha watu wawili tuu anasahau uyu kapitisha mamia nayeye akiwa mmoja wapo na hajajigamba!.

Situkani wala sio kwa ubaya ila kweli marehemu Dr.Mengi utamlinganisha na Dr.slaa !!

Mi naamini ukimwona msomi anayejigamba ana elimu bas jua hana, wenye elimu hua na imani yakujifunza kilasiku na hutumia sana macho na masikio yao kupata maarifa zaidi kuliko midomo yao mpaka mda rasmi akiombwa kushare jambo, pia ukimwona asiye na elimu anajisifia kua anaelimu zaidi jua kapiga hatua kwenye ujinga wake, (NDO MAANA WATU WENYE ELIMU HUWEZI KUWAKUTA KWENYE MIDAHARO NA MARUMBANO) wao ukitaka kupata maarifa yao tafta vitabu vyao soma au ukitaka kubishana naye andika chako au pigia kelele kitabu chenyewe.

Acha nikupe mfano, mwanamke akifanya kucheza mpira ata danadana tatu tuu watu watampigia makofi kua ye ni mchezaji hatari, na kweli ni hatari ukimcompare na watu wa type yake ila kuhualisia sio sawa kwa wengine upande wakiume, japo yeye atajiona anaweza kua messi tu pia atatamani kushindana ata ligikuu ikiwa kuhualisia hatoweza kumudu ila atatamani kuprove kua anaweza sababu kaona ameweza kufanya japo kidogo kama wale wachezaji wakubwa,

hutakiwi kubishana na asie na elimu maana nawe tutakuona mjinga ila onesha umuhimu wako kimatendo watu wataona impact yako na hata uyo alosema ye ni sawa au zaidi ya wewe atajirudi na kukupa heshima yako.
 
Kimsingi msukuma anajibu dharau za akina Mwigulu na Tulia ambao hawana impact kwenye jamii
 
Tunasoma tupate nini?
Si maarifa!
Lakini kwanini wasomi wametufelisha kupata hayo maarifa?
Toka miaka ya 60 Tanzania ndiyo hii tu.
Hebu tuwasikilize na hawa wenye maarifa naturally pengine watatuvusha, hawa wengine wemekuwa wakisoma sijui wanasomea kuiba, maana hakuna cha maana kabisa, si wapinzani wala watawala hivyo tu.

Wapinzani wameingiaje hapa kwenye issue ya msukuma. Mnunue nyie PhD kwa wahindi mje kuwataja wapinzani. All in all wasomi Wana nafasi yao kwenye Jamii, tupunguze emotions na dharau.
 
Pesa ingekuwa inapatikana kwa ndago kila mmoja angekuwa nayo.. Binafsi msomi asiye na pesa licha ya kuwa na elimu namdharau sana sababu elimu yake haijamsaidia.

Pesa kiasi gani?. Unataka kila aliyesoma awe bilionea ndio ujue ana Elimu?. Yani nisomee utafiti wa wanyama, halafu nianze biashara ya magari ndio ujue Nina Elimu. Wewe tafuta pesa, wacha wenye Elimu waendelee na eleimu yao.
 
Wampe topic moja ya uchumi akafundishe wanafunzi wa masters in Economics hapo UDSM, maana amepewa PhD ya kununua kajiona yupo level za wahadhiri wa chuo kikuu.
Thubutu hiyo DD/SS itamchanga mbaya atatoka kavurugwa, hapo bado International trade ambayo yeye anaitumia kila siku kuagiza magari huko Tokyo.
 
Uko sahihi ila experience maana yake ni elimu ambayo mtu amejifundisha mwenyewe na kwa maana hiyo wewe umempandisha zaidi hadhi. Kwa kiasi kikubwa, experience ni elimu ambayo ni self taught. Ni elimu ambayo kwa kiasi kikubwa mtu huwa anajifundisha mwenyewe
Elimu isipoambata na certification ya cheti, inakuwa ni elimu ambayo haina qualifications kwa sababu inakuwa haina vigezo vya namna ambayo watu wengine wanaweza kuipima; inakuwa ni Latent Education
Msukuma anayo elimu kubwa tu ila hana qualifications

Umekiri Hana elimu na hana qualifications, chuo kikuu anafuata Nini?.
 
Independent thoughts without using others thinking from books. inability to process information effectively. people go to through their entire life learning how to have others ideas and not their own ideas. our job is to memorize how someone how thinks/thought or said aka kasuku or parrot

Nakushauri siku moja hudhuria defence ya research UDSM uone Kama unachoongea ni kweli.
 
Jamani hvi mmeshasahau kwamba sisi wasukuma huwa tuna kaushamba ka asili ambako kanatunyemelea kila tuendapo? Ni asili ya ushamba tu inamsumbua huyu mwananzengo mwenzetu!
 
Kuna elimu ya darasani na elimu ya maisha. Wapo ambao wana elimu ndogo sana ya darasa lakini wamefaulu sana maishani. Wenye ma-PhD ya darasani wakawa si lolote wala chochote. Ndio maana historia ya nchi yetu ina takwimu ya mawaziri kibao na viongozi wa mashirika makubwa ambao waliaminiwa wakapewa nyadhifa kwa PhD na u-profesa wao lakini walifanya kazi hovyo kabisa na kuiletea nchi yetu hasara.

Pia kuna PhD za darasani ambazo hazimsaidii aliyenayo. Unaweza kupata PhD baada ya kuandika thesis inayohusu muundo wa utawala uliokuwa unatumiwa na machifu wa makabila mbalimbali Afrika.

Au unaweza kupata PhD baada ya kugundua kifaa kipya kinachoboresha utendaji wa aina fulani za mashine na ukakiuza kifaa hicho ukatajirika.

Kwa hiyo, tusipuuze wala kuzisifu PhD moja kwa moja
 
Hello Wadau..

Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.

Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.

Dkt. Musukuma amesema vyuo mbalimbali vimekuwa vikimualika Ili aende kutoa muhadhara ila hajafanikiwa kwenda Kwa sababu ya Ugumu wa ratiba yake. Miongoni mwa vyuo vinavyomhitaji ni Udsm..

Msukuma amesema yeyote mwenye shaka na uwezo wake basi Wasomi waandae mdahalo wa kiuchumi kati yake Musukuma na huyo profesa wa Chuo Kikuu halafu Wananchi ndio waamue nani ni Mchumi wa kweli na nani ni Mchumi wa makaratasi..🤪🤪


My Take

Msukuma lamatia hapo hapo maana hata wanaojiita wamesoma hakuna cha maana wamefanyia nchi hii zaidi ya Ufisadi na kujidai..

Twende kazi Dkt. Musukuma
Anajua Recardo theory of land.
Kasehemu kadogo tu.
Demand
Inawezekana kabisa, huyu jamaa hana Elimu lakini ana pesa ,labda amealikwa kuzungumza siku moja
Pesa za uchawi ni pesa.
? Pesa za kuhangilwa.
Kama anaujua uchumi kwa nini hajaonesha kwa vitendo bungeni ambapo ndio wanapanga mambo ya uchumi.
 
Ulivyo mpumbavu na zezeta umeshindwa hata kuelewa theme ya bandiko lqngu umekimbia kule kule kwenye kichaka chenu cha unyani kima wewe. Soma historia vizuri za hao watu kisha urudi hapa.

Mnapenda sana kujifariji kitoto ila moyoni mwenu mnatamani sana sifa ya kuitwa wasomi, hapo ulipo umeshindwa maana hukua na akili ulikua tutusa au garasa darani mmebaki kujifariji na nyenyenye za kipumbavu!

Kwa taarifa yako mi sio kima kama wewe nipo mbali sana kimaisha sababu ya shule we endelea kuuza ngogwe hapo mabibo.
I pit you homie, msomi na mtu successfully unaishia kutukana matusi na kusema hujui historia za watu tajwa hapo juu! Kweli akili zako ni kama yule dume la Lusungu lililokuwa na mbegu mbili tu ambazo nazo kwa bahati mbaya lilimwagia nje badala ya ndani… hizo ngogwe kuuzika ni maarifa ya biashara, acheni ujinga nyie wasomi wa uchumi mlioshindwa kufungua hata kibanda umiza…
 
I pit you homie, msomi na mtu successfully unaishia kutukana matusi na kusema hujui historia za watu tajwa hapo juu! Kweli akili zako ni kama yule dume la Lusungu lililokuwa na mbegu mbili tu ambazo nazo kwa bahati mbaya lilimwagia nje badala ya ndani… hizo ngogwe kuuzika ni maarifa ya biashara, acheni ujinga nyie wasomi wa uchumi mlioshindwa kufungua hata kibanda umiza…
Huna akili wewe utaniambia nini mimi? Ungefika form four ungeishia kupata division zero pakashume mkubwa.
 
Anajua Recardo theory of land.
Kasehemu kadogo tu.
Demand

Pesa za uchawi ni pesa.
? Pesa za kuhangilwa.
Kama anaujua uchumi kwa nini hajaonesha kwa vitendo bungeni ambapo ndio wanapanga mambo ya uchumi.
Wasomi wanaoamini kwenye uchawi na pesa za ndago kuwa inawezekana na bado hawawekezi kufanya research na kutuonyesha inawezekanaje kisayansi hao ndio wale Lisu huwaita “Professorial rubbish”. Na wewe umo mzee,
 
Wasomi wanaoamini kwenye uchawi na pesa za ndago kuwa inawezekana na bado hawawekezi kufanya research na kutuonyesha inawezekanaje kisayansi hao ndio wale Lisu huwaita “Professorial rubbish”. Na wewe umo mzee,
We mbwa roho inakuuma kwakua hujasoma! Na usingeweza maana mzazi wako alikua akilewa gongo na mataputapu so asingeweza kuwa na manii za kuzaa mtoto bora mwenye akili.
 
Huna akili wewe utaniambia nini mimi? Ungefika form four ungeishia kupata division zero pakashume mkubwa.
Zero ya Diamond imeajiri wangapi pale usafini? Huna hata baiskeli achilia hiyo simu ya mama na bado la mchepuko wake… madhara ya kufugwa hayo, utakula mpaka haram… anyways, nisipoteze muda wangu wa thamani kumpigia mbuzi gitaa… totally waste of time, energy and its extremely boring…
 
We mbwa roho inakuuma kwakua hujasoma! Na usingeweza maana mzazi wako alikua akilewa gongo na mataputapu so asingeweza kuwa na manii za kuzaa mtoto bora mwenye akili.
Hahahahhaa! Vise versa is true…
 
Back
Top Bottom