Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Independent thoughts without using others thinking from books. inability to process information effectively. people go to through their entire life learning how to have others ideas and not their own ideas. our job is to memorize how someone how thinks/thought or said aka kasuku or parrot
 
Hivi kwanini mnachukuaga sample ndogo za wasiosoma wakafanikiwa halafu kundi kubwa la wapiga debe,panya road,madalali wadogo wa mitaani,Makonda daladala,madereva omba omba mitaani hawa mbona huwa hamuwasemagi?

Binafsi sipendi kizazi cha siku hizi kunavyo zarau elimu
Haya tutajie bilionea mwenye elimu kuubwa hapa duniani.
Mimi nakutajia bilionea mkuubwa ambaye elimu yake ni ya kawaida tu.
Elon musk, Bil get e t
 
Akawafundishe wachimbaji wenzie waache kujisaidia haja kubwa kwenye njia za kuelekea maduarani
 
Kamwe elimu haitakuwa na mbadala wake. Msukuma anajifariji. Hata uwe bilionea kama huna elimu bado ni fala tu mbele ya wasomi. Taifa haliwezi kupiga hatua kwa kudharau elimu.
 
Hello Wadau..

Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.

Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.

Dkt. Musukuma amesema vyuo mbalimbali vimekuwa vikimualika Ili aende kutoa muhadhara ila hajafanikiwa kwenda Kwa sababu ya Ugumu wa ratiba yake. Miongoni mwa vyuo vinavyomhitaji ni Udsm..

Msukuma amesema yeyote mwenye shaka na uwezo wake basi Wasomi waandae mdahalo wa kiuchumi kati yake Musukuma na huyo profesa wa Chuo Kikuu halafu Wananchi ndio waamue nani ni Mchumi wa kweli na nani ni Mchumi wa makaratasi..🤪🤪


My Take

Msukuma lamatia hapo hapo maana hata wanaojiita wamesoma hakuna cha maana wamefanyia nchi hii zaidi ya Ufisadi na kujidai..

Twende kazi Dkt. Musukuma
🤣🤣🤣🤣
 
Hello Wadau..

Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.

Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.

Dkt. Musukuma amesema vyuo mbalimbali vimekuwa vikimualika Ili aende kutoa muhadhara ila hajafanikiwa kwenda Kwa sababu ya Ugumu wa ratiba yake. Miongoni mwa vyuo vinavyomhitaji ni Udsm..

Msukuma amesema yeyote mwenye shaka na uwezo wake basi Wasomi waandae mdahalo wa kiuchumi kati yake Musukuma na huyo profesa wa Chuo Kikuu halafu Wananchi ndio waamue nani ni Mchumi wa kweli na nani ni Mchumi wa makaratasi..🤪🤪


My Take

Msukuma lamatia hapo hapo maana hata wanaojiita wamesoma hakuna cha maana wamefanyia nchi hii zaidi ya Ufisadi na kujidai..

Twende kazi Dkt. Musukuma
kupata phd si lazima ufike chuo hali darasa la saba?
 
Hivi huyo mbuzi anaweza kuongea hata sentence mbili za kiingereza kweli?
Aliyekuambia ukijua kingereza unakuwa msomi alilidanganya kabisa.
JamiiForums-1012103643.jpg
 
Karibu TANZANIA nchi ambayo ukiwa na pesa unaonekana una akili sana na ukiwa umesoma unaonekana kilaza....hii ni ajabu kidogo.

Alafu watu mnatakiwa kujua kwamba mafanikio siyo kuwa na pesa tu bali hata kutimiza malengo yako ya kielimu.

Watu mnaponda wasomi,hivi mmeshafikiria walau kidogo kuhusu nini kitatokea endapo watu wote tukawa wafanyabiashara tukaachana kabisa na masuala ya kusoma!!!
 
topic ya namba akafundishe maana maana mtu akiwa na pesa anawafanya mnadharau wenye elimu.
Basi na huyo mwenye uwezo wa kufundisha namba naye apewe kazi za mfanyabiashara azisimamie.
Haya eleza "income per Capita" ni nini! What's inflation? Nakusihi usiende chuo kikuu utaibika Bure! Jieleze tu kwenye vikao vya wanywa pombe.
Hii inflation uliisoma ama ulikariri desa yaani uliikuta wanaume wenzako tayari wamesha ivumbua na wakakuambia kuwa uelezee ivyo basi na wewe utakuwa juu Kama wao.


Yaani nikianzisha shule kwa Yule anayepata maswali yote nitampa Alama ndogo Bali nitajikita kwa wale wanaanza chini na kujua makosa yao Ni Nini Wana zidi kuwa Bora kila siku.


Pia elewa elimu imemfunga mwanadamu yenyewe inapima vipaji Aina mbili za wanadamu na huku binadamu tuna uwezo ama vipaji vya Aina nane.


Huwezi kumpima samaki kwa kupanda mti ama kupaa hewani elewa please.


Elimu hii Ina mapungufu na watu wenye brain kubwa wanaipinga kwanza inatengeneza mental slavers.


Hivi mbape anajua what's icho ulivyouliza Ila wewe na mbape ama usain bolt unajionaje.

Serena wiliamu hajui icho unachojivunia Ila waweza kuwa houseboy wake akakulipa zaidi ya icho unacholipwa ama kukipata.



Elon musk ameanzisha shule ya kwake mwenyewe wanawe wanasoma. Binafsi natamani niwe na shule yangu ya kufuata mtaala wangu mwenyewe na baadaye utaona watu watakavyo join namie.


Binadamu tunajifunza by osmosis yaani kwa kuona kabisa na sio kukaa kuelezewa nadharia tu.


Huwezi nihukumu mie kuwa Ni kilaza kisa tu sijui hesabu na huku mie Ni mchoraji mzuri so na wewe Ni kilaza pia.



Jamani acheni mfumo wetu wa elimu unabeba watu walio Kama kasuku.


Kwa saivi China same move from academic oriented education to veta oriented. Na Engineer aliyetokea like veta analipwa zaidi kuliko aliyetokea mfano mlimani.


Nenda kwa wakandarasi watakuambia.



Yaani Elon musk alidai hajasoma Havard Ila ameajiri walisoma hapo.


Jeff Benzos anadai kubadilisha idea kuwa physical thing Ni ishu sio ya kitoto.



Hatukatai elimu inayo mengi sema inatakiwa ifanyiwe reformatted ya kutosha.



Nguvu ambazo vijana wanatumia kwenye elimu nadhani wangezitumia kwa ishu nyingine productively nadhani tunaenda mbali mno.


Kama unasoma kilimo mfano darasaNi kidogo baadaye kwenye kilimo zaidi Lima toa mazao uza ndio upate alama Kama Mia iwe Mia.



Kama biashara Basi inatakiwa ukae kwenye Ilo eneo na uwe unaleta tunajadili ulichofunza na umeshindaje iyo challenge.



Yaani education Ni kufundisha mind how to think Bali sio kufundisha ukweli ama kukariri ukweli kuwa ndio utaheshimika na your tribal .



Elimu sio kuwa Ni mbaya sema namna watu wanavyofundishwa inawafanya wanakuwa tegemezi. Labda kidogo shule za ufundi na kilimo baadaye na technical college ziko sahihi inatakiwa tu adopt huu mfumo.


Mie nimefundishwa electrical wiring form three physics Ila nikipewa nyumba hii hapa fanya wiring siwezi.



Pia kujua English sio kuwa ndio umesoma kwa wanaojivunia English. Kama English kuijua naijua mno Ila sio kuwa ndio umefika mbinguni.


Kwani mchina ,mrusi,mfaransa ama mjapan ama mwarabu anajua ama mkorea anajua iyo English yenu na je hawana utalaamu kwani ama hawajasoma wewe ulichosoma ama unadhani English ndio inayotibu mgonjwa ama ndiyo inayopigana huko Ukraine.


English Ni muhimu ndio lugha ya dunia Ila sio English haijengi ghorofa,haichezi mpira,haitibu wagonjwa,haindeshi ndege ama haianzishi viwanda. Na English haifanyi Investment in stocks my dear. Kuna Japanese trader mmoja alitoa akaunti from $13600 to $158M ndani ya 8yrs bila ya kujua English.


Kuna wawekezaji wakubwa wanafanya biashara na wanakuambia kuwa elimu ya Harvard aka business school haijamsaidia.


Nikuambie tu hata ma prosfesa wa uchumi University wanafundisha trading various underlying financial assets like gold,oil,copper, currencies and commodities Ila hawezi kuifanya practically hata siku moja so elimu take ipo ama amekariri theory zaidi.

Sio kuwa nawabeza na sio kuwa na envy wasomi. Hata mie maisha yangu nayaendesha kwa elimu niliyopata CoET Ila sio kuwa elimu ndio everything.
 
Hello Wadau..

Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.

Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.

Dkt. Musukuma amesema vyuo mbalimbali vimekuwa vikimualika Ili aende kutoa muhadhara ila hajafanikiwa kwenda Kwa sababu ya Ugumu wa ratiba yake. Miongoni mwa vyuo vinavyomhitaji ni Udsm..

Msukuma amesema yeyote mwenye shaka na uwezo wake basi Wasomi waandae mdahalo wa kiuchumi kati yake Musukuma na huyo profesa wa Chuo Kikuu halafu Wananchi ndio waamue nani ni Mchumi wa kweli na nani ni Mchumi wa makaratasi..[emoji2957][emoji2957]


My Take

Msukuma lamatia hapo hapo maana hata wanaojiita wamesoma hakuna cha maana wamefanyia nchi hii zaidi ya Ufisadi na kujidai..

Twende kazi Dkt. Musukuma
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28]
 
mbili za kiingereza kweli?
Wachina wamejenga treni inapita chini ya bahari bila hata kujua neno moja la English. Mbona unakuwa na locked mindset ivi wewe mura wa kyagata sijui kyabakari badala ya kyabhasacha.


Elewa mtu anaweza akafundishwa kwa lugha yeyote hata kisukuma,kichaga,kimasai ama kimakonde akawa daktari ,rubani ,mhandisi.

Elewa kuwa sio kuwa lugha ndio inayofanya kazi Bali njia ya kukupatia ama kukuwekea maarifa kichwani mwako ukaelewa kitu.


Usiwe mtumwa kuwa ukijua English ndio Basi wewe msomi. Na Tena inaonekana hapo kijijini kwenu unawanyanyasa mno kisa unaongea English.


Ujue kitu kinachowasumbua
 
Aisee! Ukiwa mjinga na huwezi jiona ujinga wako wewe ni mpumbav...
Tuanze kwanza na maana au tafsir ya elimu..
Huyu Msukuma hua anawaza watu hua wanapiga blaa blaa tu na wanapewa shahada.. Ukifanikiwa bas kumiliki mabas bas unakua Dr. huna andiko lenye kufuata kanuni litalorithishwa kwa wanafunz wajao na kuongeza udadis.. Hao kina Newton hata wao wenyewe hawakukifaid walichokivumbua..
Kama nchi tutaendelea kuwashangilia wapumbavu kama hawa basi tunaeza kuja kuwa taifa la ajabu sana.. Hawa watu kutoka hii kanda hua wana akili za ajabu sana hua wanajipa patent right ya kuongea utumbo na kujipongeza wenyewe.
Hapo zamani BABA yule alichakachua PhD, sasa hayando matokeo yake...
 
Msitutishe na elimu zenu….

Enzi hizi za internet/ technology ukibaki Sio msomi ni uamuzi tu namaanisha inabaki kuwa ni CHOICE tuuu….Ila ukiwa na akili kichwani na ukatumia muda wako mwingi kutafuta maarifa unaweza kumpita msomi aliyekaa formally darasani…..Wasomi wa JF wameshindwa kuexplore kuwa Msukuma anaweza kuwa mbaya sana tu. … mmeweka emotions Zenu mbele..
 
Tatizo lako unawataja wenye fedha na kuiona elimu haina maana. Elimu na kutafuta fedha ni vitu viwili tofauti. Nikuulize kwa Tanzania wenye elimu ya juu na darasa la Saba wangapi wanaenjoy Maisha?
Makonda alishawahi kusema kuwa yeye anakula bata kuliko mtu yeyote Dar, hakuna hata na masters, hakuna watu wanakula msoto kwenye nchi hii kama maprofesa… usiwaone kina Lipumba, Balegu na Kabudi ni vichaa kukimbilia siasa ambayo qualification yake ni standard seven unakuwa mbunge, mtendaji kata ni kujua kusoma na kuandika, imeisha hiyo..

Hao niliowataja wana elimu kubwa sana tena sana, isipokuwa iko specific kwenye vipawa vyao, na biashara kwenye uwekezaji wa miradi, sisi huku sifa ni kufika chuo kikuu vyeti ndii ulichokisomea hata hukijui unaenda kufundishwa upya kazini… umeshaona Jay akizingua kwenye mistari yake? Nenda hospital zetu kutana na hao madokta na manesi walivyo miyeyusho na unethical na wamesomea hizo fani…
 
Msukuma amevumbua Nini?. Kapewa PhD ya kununua halafu unasema kavumbua kitu gani?. Tupunguze dharau kwenye elimu kisa Kuna watu wamepata pesa kwa ndago.
Ndago ni nini? Kama hicho kitu kinaleta hela kinamake sense, kama hakileti hela doesn’t make no sense… msomi anayeamini kupitwa kwake kiuchumi ni kutotumia ndago ndio wale Lisu huwaita professorial rubbish.
 
Hata mi namkubali sana Dr Joseph Kasheku Msukuma ,jamaa ana akili nyingi sana na upeo mkubwa sana wa uchumi ,kama kuna prof au dr wa uchumi ajitokeze wakafanye mdahalo na Dr Msukuma muone joto ya jiwe.
 
Back
Top Bottom