HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Inawezekana nyie ndio wasomi wa makalatasi hakuna mnacho deliver kwa jamii inayo wazunguka usidhani kuandika report yenye makalatasi mengi ndio usomiAisee! Ukiwa mjinga na huwezi jiona ujinga wako wewe ni mpumbav...
Tuanze kwanza na maana au tafsir ya elimu..
Huyu Msukuma hua anawaza watu hua wanapiga blaa blaa tu na wanapewa shahada.. Ukifanikiwa bas kumiliki mabas bas unakua Dr. huna andiko lenye kufuata kanuni litalorithishwa kwa wanafunz wajao na kuongeza udadis.. Hao kina Newton hata wao wenyewe hawakukifaid walichokivumbua..
Kama nchi tutaendelea kuwashangilia wapumbavu kama hawa basi tunaeza kuja kuwa taifa la ajabu sana.. Hawa watu kutoka hii kanda hua wana akili za ajabu sana hua wanajipa patent right ya kuongea utumbo na kujipongeza wenyewe.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app