Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Hahahahaha Dr Msukuma shikilia hapo hapo hahahahhaha
 
Mapropesa na madakitali PhD ndio wana zaililisha sana hapa kwetu.. Msukuma nilibahatika kukaa mala mbili.. nje ya fujo za siasa na mambo yake binafsi.. kichwani ana kitu cha ziada na elimu yake ( maarifa yake ) yanafaa
SAwa...ana andiko lolote lile kalipublish? Au unasemea ana elimu ya mtaani?
Hivi anaweza kutunga hata sentensi ya Kingereza?au basi !
 
Aisee! Ukiwa mjinga na huwezi jiona ujinga wako wewe ni mpumbav...
Tuanze kwanza na maana au tafsir ya elimu..
Huyu Msukuma hua anawaza watu hua wanapiga blaa blaa tu na wanapewa shahada.. Ukifanikiwa bas kumiliki mabas bas unakua Dr. huna andiko lenye kufuata kanuni litalorithishwa kwa wanafunz wajao na kuongeza udadis.. Hao kina Newton hata wao wenyewe hawakukifaid walichokivumbua..
Kama nchi tutaendelea kuwashangilia wapumbavu kama hawa basi tunaeza kuja kuwa taifa la ajabu sana.. Hawa watu kutoka hii kanda hua wana akili za ajabu sana hua wanajipa patent right ya kuongea utumbo na kujipongeza wenyewe.

Siku hizi hata kua na andiko bila kuwa cited kwa wingi, andiko lako kama sms ndefu tu.
 
SAwa...ana andiko lolote lile kalipublish? Au unasemea ana elimu ya mtaani?
Hivi anaweza kutunga hata sentensi ya Kingereza?au basi !
Hao wana publish wamefanya nini kwenye hili taifa ? Kuna watu hawana machapisho na hawajulikani, ila wapo vizuri sasa katika utekelezeji.. sio hayo maelimu ya makaratasi.. Mfano haga sie tulipo maliza vyou kazi tumeendwa fundishaa na wazee wasio cheti.. na issue complex zikitokea wanakuja solve.. elimu ya makaratasi imeharibu vichw vya watu.. Niambie Newtons niambie kuhusu Enstein.. Machapisho na vyeti hapo tuu..
 
Hello Wadau..

Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.

Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.

Dkt. Musukuma amesema vyuo mbalimbali vimekuwa vikimualika Ili aende kutoa muhadhara ila hajafanikiwa kwenda Kwa sababu ya Ugumu wa ratiba yake. Miongoni mwa vyuo vinavyomhitaji ni Udsm..

Msukuma amesema yeyote mwenye shaka na uwezo wake basi Wasomi waandae mdahalo wa kiuchumi kati yake Musukuma na huyo profesa wa Chuo Kikuu halafu Wananchi ndio waamue nani ni Mchumi wa kweli na nani ni Mchumi wa makaratasi..🤪🤪

My Take

Msukuma lamatia hapo hapo maana hata wanaojiita wamesoma hakuna cha maana wamefanyia nchi hii zaidi ya Ufisadi na kujidai..

Twende kazi Dkt. Musukuma
Kuna possibility kubwa kuwa hivyo Vyuo Vikuu 11 vinavyomhitaji Akakufunzi / Akafundishe vikawa na Watendaji Majuha ( Nuts ) kuliko inavyoaminika.
 
Kuna elimu na maarifa unaweza ukawa na elim ila huna maalifa, ume soma uchumi Sawa je unatusaidiaje sisi majiran zako na jamii juu ya uo uchumi wako na usomi wako?

Kama ume soma una PhD lakin huna mchango katika jamii ila Kuna watu hawaja soma kuku fikia Lakin wana fanya mambo ambayo wew ume soma na huwafikii katika ufanisi wa kuleta matokeo Nani ataonekan bora +?

Kusoma sio kazi kazi kubadilisha ulicho soma kuwa pesa
 
Hello Wadau..

Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.

Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.

Dkt. Musukuma amesema vyuo mbalimbali vimekuwa vikimualika Ili aende kutoa muhadhara ila hajafanikiwa kwenda Kwa sababu ya Ugumu wa ratiba yake. Miongoni mwa vyuo vinavyomhitaji ni Udsm..

Msukuma amesema yeyote mwenye shaka na uwezo wake basi Wasomi waandae mdahalo wa kiuchumi kati yake Musukuma na huyo profesa wa Chuo Kikuu halafu Wananchi ndio waamue nani ni Mchumi wa kweli na nani ni Mchumi wa makaratasi..🤪🤪

My Take

Msukuma lamatia hapo hapo maana hata wanaojiita wamesoma hakuna cha maana wamefanyia nchi hii zaidi ya Ufisadi na kujidai..

Twende kazi Dkt. Musukuma
Uchumi wa Musukuma unajulikana, ni ndago.
 
Mimi nakazia palepale, inabidi wasomi ifike hatua waheshimiwe bhana, haiwezekani wakadharauliwa hivyo, kama kusoma ni rahisi, nenda shule, kwani haina mwisho.

Haiwezekani layman na wivu wake aje kuwaonea wasomi wivu kwa kushindwa kwenda shule.

Wasomi inabidi mlinde heshima yenu, kama wasanii, waliogoma kwenda shule na makundi mengine.
 
Kaongea ukweli
Wewe mchumi unayemiliki Dr. Umekosa hata kiwanja au biashara huo uchumi wako unafaida gani kwenye jamii.

Tuna PhD za makalatasi ukija field Ni zero zero zero

Msukuma kazia hapo

Tupunguze chuki, msukuma ni mfanyabisahara biashara sio mchumi. Kama biashara mbona akina Bakhresa hawana PhD. Apewe topic ya uchumi afundishe, aache maneno.
 
yuko sawa kabisa binafs sijaona kazi ya wasomi wa nchi hii bora ya msukuma mala 100 kaairi vijana kwenye migodi yake na masi yake kuliko haya yanaojiita masomi kazi wizi tu
Kama unaandika mala instead of Mara basi wewe na musukuma hakuna tofauti
 
Aisee! Ukiwa mjinga na huwezi jiona ujinga wako wewe ni mpumbav...
Tuanze kwanza na maana au tafsir ya elimu..
Huyu Msukuma hua anawaza watu hua wanapiga blaa blaa tu na wanapewa shahada.. Ukifanikiwa bas kumiliki mabas bas unakua Dr. huna andiko lenye kufuata kanuni litalorithishwa kwa wanafunz wajao na kuongeza udadis.. Hao kina Newton hata wao wenyewe hawakukifaid walichokivumbua..
Kama nchi tutaendelea kuwashangilia wapumbavu kama hawa basi tunaeza kuja kuwa taifa la ajabu sana.. Hawa watu kutoka hii kanda hua wana akili za ajabu sana hua wanajipa patent right ya kuongea utumbo na kujipongeza wenyewe.
Mpumbavu mbavu sana wewe jamaa, kama na wewe ni msomi basi acha msukuma ajiite PhD holder, kama hiyo mimba ya watu wa hiyo KANDA inakutesa sana basi itoe.
 
yuko sawa kabisa binafs sijaona kazi ya wasomi wa nchi hii bora ya msukuma mala 100 kaairi vijana kwenye migodi yake na masi yake kuliko haya yanaojiita masomi kazi wizi tu

Mbona Kuna vibaka mtaani wengi tu hata la Saba hawajagusa. Ninachoomba siku moja wasomi wote kuanzia madaktari, wahasibu , mawakaili , wahadhiri wasiende kazini halafu hao unaowaita wa maana waende kufanya operesheni na kutetea watu mahakamani.

Usitukane wasomi kisa wanajitolea na hawana pesa, au kisa ufisadi umefanywa na wachache.
 
Back
Top Bottom