Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Huyu inawezakana hana elimu ila ana kili nyingi sana,ndio maana anajiamini kuwa akiwekwa na mchumi wa darasani ambaye ana elimu na hana akili anajuwa kabisa kuwa atamgalagaza...
 
Mimi nakazia palepale, inabidi wasomi ifike hatua waheshimiwe bhana, haiwezekani wakadharauliwa hivyo, kama kusoma ni rahisi, nenda shule, kwani haina mwisho.

Haiwezekani layman na wivu wake aje kuwaonea wasomi wivu kwa kushindwa kwenda shule.

Wasomi inabidi mlinde heshima yenu, kama wasanii, waliogoma kwenda shule na makundi mengine.

Ni kweli tunawadharau wasomi, lakini tukipata kesi tunawakimbilia au tukihitaji upasuaji tunawakimbilia, tukihitaji mchanganuo wa Kodi na ukaguzi tuwakimbilia, ila matusi kila siku kuwa wasomi hawana faida.
 
Na lugha itakayotumika kwenye hiyo debate kiwe kimalkia, maana debate ya madokta na maprofesa hii........tushuhudie namna king msukuma anavyotiririka na yai.
 
Kumbe Hili Jambo Limechukua Sura Mpya Kabisa
Naona Taratibu Wasomi Wakifyatishwa Mkia Na Msukumu
Amepiga Umber Cut, Chembe Kidefu Moja Kali

Wasomi Tokeni Vyuoni Mjibu Hoja Na Ameomba Mdahalo Ili Mpate Kuumbuka Wote
 
Aisee! Ukiwa mjinga na huwezi jiona ujinga wako wewe ni mpumbav...
Tuanze kwanza na maana au tafsir ya elimu..
Huyu Msukuma hua anawaza watu hua wanapiga blaa blaa tu na wanapewa shahada.. Ukifanikiwa bas kumiliki mabas bas unakua Dr. huna andiko lenye kufuata kanuni litalorithishwa kwa wanafunz wajao na kuongeza udadis.. Hao kina Newton hata wao wenyewe hawakukifaid walichokivumbua..
Kama nchi tutaendelea kuwashangilia wapumbavu kama hawa basi tunaeza kuja kuwa taifa la ajabu sana.. Hawa watu kutoka hii kanda hua wana akili za ajabu sana hua wanajipa patent right ya kuongea utumbo na kujipongeza wenyewe.
Kwani wewe unaelewaje maana hasa ya elimu?
Hivi mtu akiifundisha jamii kujikwamua kiuchumi hiyo siyo elimu?
Yeye hajapata mali serikalini isipokuwa kaingia nayo tu.
Je akiwafundisha watu namna ya kupata mali itakuwa siyo elimu!
 
Kumbe Hili Jambo Limechukua Sura Mpya Kabisa
Naona Taratibu Wasomi Wakifyatishwa Mkia Na Msukumu
Ameliga Umber Cut, Chembe Kidefu Moja Kali

Wasomi Tokeni Vyuoni Mjibu Hoja Na Ameomba Mdahalo Ili Mpate Kuumbuka Wote
Hahahaaa
 
Huyu inawezakana hana elimu ila ana kili nyingi sana,ndio maana anajiamini kuwa akiwekwa na mchumi wa darasani ambaye ana elimu na hana akili anajuwa kabisa kuwa atamgalagaza...

Punguzeni sifa za kijinga, mmeshaona wahadhiri wa chuoni hawana akili halafu msukuma STD seven failure ndio mwenye akili?. Mtu mwenye akili hajitangazi bali anajulikana tu. Kama ana akili apewe topic ya namba akafundishe maana maana mtu akiwa na pesa anawafanya mnadharau wenye elimu.
 
Punguza hofu...
 
Huyo anatafuta kuziba ombwe la kutokusoma kwa kujilinganisha na wasomi wengine. Ndio mjue hata matajiri wanatamani kuwa wasomi Seema ndio hivyo.
Sasa uchumi wa manyokanyoka hawa wasomi watauelewa, au atanza kuwanywesha dawa za miti shamba ili waingiwe na maruweruwe halafu ndo waanze kumsikiliza 😂😂😂😂.
 
Na lugha itakayotumika kwenye hiyo debate kiwe kimalkia, maana debate ya madokta na maprofesa hii........tushuhudie namna king msukuma anavyotiririka na yai.

Msukuma aliwahi kuongea broken bungeni bunge likacheka lote. Msukuma aendelee kuitwa Dr lakini ajue kufundisha chuo kikuu sio lelemama.
 
Kwani wewe unaelewaje maana hasa ya elimu?
Hivi mtu akiifundisha jamii kujikwamua kiuchumi hiyo siyo elimu?
Yeye hajapata mali serikalini isipokuwa kaingia nayo tu.
Je akiwafundisha watu namna ya kupata mali itakuwa siyo elimu!

Ndugu, Hawa matajiri Wana Siri Sana kuhusu utajiri wao.
 
Back
Top Bottom