johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mabadiliko ya Tabia nchi 🐼Mijini ndio wamezidi sana.
Miaka 10 anayosema Musukuma ni mingi sana, miaka 8 tu mtoto saa 8, sijui ni haya mavyakula ukiachana na hoja ya Musukuma.
Vijijini angalau unaweza kukuta mtoto wa zaidi ya miaka 10 bado hana maziwa, ila mjini rare.
Upande wa vitoto vya kiume navyo vinapevuka mapema, miaka 12 katoto tayari..
Enzi zetu ilikuwa kawaida mtoto wa kiume kuvuka 15 akiwa hajapevuka...