WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Bunge la Magufuri.Bunge la JMT 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge la Magufuri.Bunge la JMT 🐼
Utafiti nilioufanya ni matumizi mabaya ya lishe katika miili yetu.Mnashindwa kujali Afya mnasingizia wazungu .
Mnakula bila mpangilio ,hamjali Afya zenu mkiota vitambi ,matiti mwili kuumuka lawama kwa wazungu.
Ukweli ndiyo huo.Huyu Mbunge anaongea Rubbish na hajui kuwa adui ni BPA kwenye plastic ambazo zinamimic hormones na haswa Astrogen unakuta Watu bado wanatumia sana vyombo vya plastic pamoja na kufunikia vyakula.
BPA is a known endocrine disruptor. Although initially considered to be a weak environmental estrogen, more recent studies have demonstrated that BPA may be similar in potency to estradiol in stimulating some cellular responses.
Halafu Waziri wa Afya kazi yake ni kusifia na kupongeza wakati BPA inawamaliza Wananchi.
Hii Nchi imejaa Viongozi Wajinga.
Tayari ameshangia hoja na posho amachukua.Bunge la CCM ya Magufuli na Samia
Mnawapa watoto kuku wa week tatu kama kitoweo mnategemea nini??Musukuma ni mbumbumbu.Mijini ndio wamezidi sana.
Miaka 10 anayosema Musukuma ni mingi sana, miaka 8 tu mtoto saa 8, sijui ni haya mavyakula ukiachana na hoja ya Musukuma.
Vijijini angalau unaweza kukuta mtoto wa zaidi ya miaka 10 bado hana maziwa, ila mjini rare.
Upande wa vitoto vya kiume navyo vinapevuka mapema, miaka 12 katoto tayari..
Enzi zetu ilikuwa kawaida mtoto wa kiume kuvuka 15 akiwa hajapevuka...
Ujinga tu unatusumbua.Ila wazungu wanapata shida aisee!! Maana matatizo yetu waafrica tunawatupia lawama wao
Ndiyo hivyo ilivyo.Nyakati hizi tunataka vitu vya haraka haraka, mazao yaoteshwe, kukua na kuvunwa haraka, mifugo vivyo hivyo na tunatumia madawa, viini lishe au hormone kufanya hivyo.
Kwa nini tutegemee walaji wasiwe hivyo?
Ukila kuku wa nyama wa kisasa na wewe lazima mwili wako uwe wa nyama za kisasa.
KWELIIIIKABISAAAA KABISAAAA AISEE WEE JAMAA UNGEFIKA CHUO KHAAAAWakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki kuwapotezea muda na maneno mengi, hebu msikilize nyinyi wenyewe.
MAONI YANGU
Namuunga mkono daktari Msukuma kwa asilimia zote. Siku hizi ukikutana na binti wa miaka 10 njiani ukimuangalia kifuani hadi unaogopa na kuona aibu. Na sio mabinti tu, hata wanaume nao wana chuchu kubwa mithiri ya wanawake
Kuna uwezekano mkubwa wazungu wanatuwekea homoni za ushoga kwenye chanjo. Hili suala liangaliwe kwa undani kwani sio mara ya kwanza kusikia ushuhuda huu hapa nchini. Tusibeze wala kudharau kwani mdharau mwiba mguu huota tende. Waziri Ummy Mwalimu tunakuomba uzifanyie utafiti hizi chanjo za bure za wazungu zisije zikatuletea shida hapo baadaye.
Pia soma: Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!
Bunge La CCM Aibu Tupu,Bunge la JMT 🐼
Kwenye hilo Musukuma yuko sasa wala siyo porojo kuwa watoto wa miaka 10 kuota matiti.Aache uongo mtoto gani ana miaka 10 ana matiti yamelala,sijawahi kuona toka kuzaliwa vitoto vya miaka 10 ni vidogo mno viko la nne au la tano.Ila kwenye miaka kuanzi 13 naweza angalau nikakubaliana nae kwa mbali sana