Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

Mabadiliko ya Tabia nchi 🐼
 

Hizo Hormones za USHOGA zinafahamika ua zinaitwaje kwa kisayansi.

Halafu hao watoto wa miaka 7 - 8 wenye maziwa makubwa wako mitaa gani .... maana wengine hajuawaona huko mitaani. AU hizi ni consipirous theories .... maana Watanzania kila kitu kinaleta Ushoga. Colgate zilisambazwa mashuleni tukaambiwa zinaleta ushoga, chakula cha msaada kwa watoto wa shule kule Dodoma nao tukaambiwa ni unaleta ushoga .... sasa basi tupunguze kuagiza bidhaa kutoka nje.
 
Nyakati hizi tunataka vitu vya haraka haraka, mazao yaoteshwe, kukua na kuvunwa haraka, mifugo vivyo hivyo na tunatumia madawa, viini lishe au hormone kufanya hivyo.
Kwa nini tutegemee walaji wasiwe hivyo?
Ukila kuku wa nyama wa kisasa na wewe lazima mwili wako uwe wa nyama za kisasa.
 
Umeongea ukweli 100% mkuu
 
Kwahio msukuma anatuchungulia tu toto twa miaka kumi 😂😂
Naunga mkono unachoongea huyo Msukuma alionaje hizi sidiria hivyo vitoto vinavaa wakati ni vazi la ndani ya nguo alivivua akaona hizo sidiria? Waziri amuhoji huyo Msukuma alijuaje kuwa vinavaa sidiria? Sababu Anasema ninwengi wanavaa Ina maana aliwafunua kuziona

Watetezi wa haki za watoto ingilieni kati Hilo hizo sidiria aliiziona wapi?

Mkewe pia amuulize Msukuma alikoziona hizo sidiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…