Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

Ukweli ndiyo huo.
 
Hiyo inaweza kuwa athari ya chakula tunachotumia na mtindo wa maisha japo haina maana ya kupuuza alichosema Dakta JK Musukuma.

Kingine kasi ya kutisha ya ongezeko la watoto wenye mtindio wa ubongo unaoenda sanjari na ulemavu wa viungo vya mwili ikiwemo mikono, miguu, macho na mdomo kutokuwa na umbo lililozoeleka. Hili linaongeza wasiwasi na hofu juu ya usalama wa chanjo anazopewa mjamzito.
Uchunguzi wa kina unahitajika na Taifa kama Taifa tusiwe nchi ya majaribio ya kila chanjo duniani.
 
Mnawapa watoto kuku wa week tatu kama kitoweo mnategemea nini??Musukuma ni mbumbumbu.
 
Ndiyo hivyo ilivyo.
 
KWELIIIIKABISAAAA KABISAAAA AISEE WEE JAMAA UNGEFIKA CHUO KHAAAA
 
Namalizia....
Anapata faida gani huyo mzungu mpaka anatumia nguvu kubwa kuweka hayo ma hormon kwenye vyakula au vitu vingine watu wanavyosema...??

Maana kama mnazani kuweka viambatanishi vya kufanya mtu kuwa shoga katika vyakula na etc ni simple hivo ulizeni wataalamu..

Wataalamu wadadavue tujue science iliyopo hapo sio kila siku tunakalili tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…