Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

Kama utaamua kumjibu msukuma pasipo kutumia ubongo, bado jibu lako litatumika kutambua mtoa majibu ulivo
 
Kama watoto wa 1985/93 tulikuw
Asubuhi tunakula
Ugali wa jana na mahalage au kisamvi + chai
Ubwabwa maharage
Mkate mkavu pisi 2
Uji mkavu

Mchan
Ugali dagaa/maharage,mchicha(kunde kisamvu, nyama

Usiku ubwabwa na hizo mboga

Now days
Mtoto energy , soda chips junkies food kuku wa kisasa then hakun kaz anayofanya
 
Tumeongea haya mambo kwa muda mrefu sana,na hakuna kinachofanyika.Msukuma is right 💯%.Ipo hujuma kwa nchi yetu.

Tulishasema wafanye utafiti tujue athari za chanjo nothing;Madawa ya hospitalini, nothing;Pesticides, nothing;Madawa ya uzazi wa mpango,nothing;mbolea za chumvi chumvi,nothing;on the shelf foods,nothing;the list is endless.

Naamini kwamba zipo hela nyingi zinazotembea ili kutofanya utafiti wakwetu na kupata ukweli wa athari za vitu tunavyoyumia,ili Watanzania tuendelee kuathirika.

Na Watanzania walivyo wajinga huku ikiwa wazi kwamba there is something to hide, wanafakamia tu mavitu ambayo hata hawaelewi usalama wake.In short it is business as usual,very sad indeed.
 
What's the justification? Any claim must be justified, otherwise it's just speculation which is common where emotions take over rational reasoning/thinking intelligence.
 
What's the justification? Any claim must be justified, otherwise it's just speculation which is common where emotions take over rational reasoning/thinking intelligence.
According to Msukuma, this is not a claim but a research finding. If you listen to him well, you can obviously hear him asserting he did a research in schools and analysed the results before releasing the results before the parliament. Prove him wrong or right by conducting another research of the like.
 
Misada ya bure itawaponza Mtamkumbuka Rais Magufuli Mungu aiweke mahali pema Roho yake.

Your browser is not able to display this video.
 
Research? Huyu la saba hiyo sampling aliiandaaje? Je analysis tools gani alitumia au data alikusanya vipi? Haya mambo ya kutumia assumptions ndio yanatumaliza waafrika. Mara albino hawazikwagi, sijui kitovu kikigusa uume unakua hanithi, sijui ukiwa period miti inanyauka!! Ukiuliza mtu scientific evidence anakua mkali!!

Tuache kuendeshwa na hisia, hakuna connection yoyote kati ya lishe/chanjo na ushoga. Labda malezi na genetics ila sio chanjo!!
 
Inabidi mheshimiwa mbunge dokta msukuma afanye na utafiti kuhusu uotaji wa ndezu maana ukienda shule ya msingi unakuta watu washaanza kunyoa ndevu.

Ama mi ndio ni kawaida na lenyewe.
 
Mabadiliko hayakwepeki master, ndio watoto wa kipindi hiki wana kua haraka, imeletwa na mabadiliko ya mfumo wa maisha, vyakula. Vizazi always vinabadilika
 
Yule mbunge mtoa taarifa ambae msukuma alisema ni mdau wa kilaji huwa anapata vyombo wapi?

Naweza piga sharubati mahala yeye akiendelea na vyombo vyake...
 
Yaani Dr Msukuma (PhD) anshindwaje kufanya research mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…