Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Kwani wameanza kutapatapa? Wafanye hata biashara si huwa wanahamasisha vijana wengine wajiajiri? Kwa nini inakuwa ngumu kwao kujiajiri?
 
Wajifunze kutokana na Lipumba na Mrema. “Hawakuniachia hata Kiraracha yungu” Ndivyo alivyosema Mrema alivyogundua wakati wa local Gov elections kuwa hata kijiji chake ccm wamekichukua! Hahaha!Ndivyo walivyo wajanja hao! Propesa ameachwa kwenye mataa.
 
Nasikitika dalalali wa accacia wa mabeberu kwenye madini yetu eti nae mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema [emoji34] [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Wanapenda kupata hela za bure,hakuna jambo lolote la maana wanapokuwa bungeni hata kwenye mabaraza ya madiwani wanapaswa kujiajiri Kama wanavyowashauri vijana majukwaani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo ni rasmi sasa siasa ndio kila kitu..tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma ..
Badala washauriwe kutumikia fani zao kuna mtu anawaombea wasitupwe
Na Hasa Silinde anajifanya yeye eti Mchumi Mahiri...si aanze sasa kutoa mihadhara kwenye Vyuo Vikuu mbalimbali duniani?😀

Na yule mtoto wa mjini naye aingie na manati yake mjini aanze kupora bodaboda😀
 
yaani zamani nilikuwa na heshimu watu wa kasikazini kwa kuwa na akili na misimamo ya maana lakini utawala wa Magufuli umesaidia kujuwa watu kwa uhalisia wao. na kwasababu hiyo nimegunduwa ujinga hauna kabila. hata kasikazini tumeona Magufuli na polepole wakirubuni wajinga kibao kwa ahadi hewa.
 
Huko walikohamia kuna waliowakuta ambao wametumikia Vyama vyao Kwa Mapenzi, Utii, Shida na Raha na Uvumilivu. Waliokutwa ndio Wanàstahili Uongozi . Leo Wageni wasiojua ABC za Vyama walivyohamia Wapewe Uongozi Kwa Lipi? au Pongezi ya Kusaliti Vyama vilivyotoka? Kama wamehamia huko Kwa Mapenzi ya dhati wapimwe Kwa Kunyimwa Uongozi/ Madaraka Kwa 5 Years.
 
Yeye mwenyewe aombe msamaha
 
Kwa namna moja au nyingine kuna pointi.
Mtu hujifunza zaidi pale anapofanya makosa.
Tusishindwe na ccm imewapokea walio wao hadi Lowasa.
Nasi tuwapokee lakini wakae karantini...chini ya uangalizi kwa muda wa kutosha
Hahahaaa....... Ngumu kumeza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watavuna walichokipanda Malipo Mungu karahisisha sana ni Hapa Hapa Duniani
Kabisa yani...... Zile ngebe zile ni laana tosha....
Magufuli alishasema watz sio wajinga nadhani sasa wameelewa kwa vitendo...
 
Wahamie kwa hao nccr wasaka tonge
Mbatia kachemka sn..... Hata km walimuahidi km walivofanya kwa lipumba lkn angeweka uzalendo mbele sio kuhujumu upinzani kizembe vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…