Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Quinine,

..MUDA ukienda upo uwezekano kusameheana.

..pia wakipigika na kuteseka sawasawa watagundua kuwa they need to reconcile and work together.

..nadhani kuna jambo la kujifunza kutokana na yaliyotokea kwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.

..lingine ni kwa wanasiasa wanaohama-hama wajifunze ustaarabu na kuweka akiba ya maneno.

..kuna wakati wanaohama-hama, kwa mfano Peter Lijualikali, wanazungumza mpaka "wanakufuru" kiasi cha kuwapa ukakasi hata wanachama wa vyama walivyohamia.
 
Wanasiasa wanajielewaga wenyewe, kama sasaivi kinachofanyika ni tamaa ya kushika dola tuu na kupata ruzuku lakini vyama vilivyo vingi havina misingi imara wala dira....vinaeleaelea tuu
Itachukua muda sana kujenga chama cha upinzani kilicho makini kwa Tanzania na maana hiyo CCM itazidi kushika hatamu
 
Back
Top Bottom