Wanasiasa wanajielewaga wenyewe, kama sasaivi kinachofanyika ni tamaa ya kushika dola tuu na kupata ruzuku lakini vyama vilivyo vingi havina misingi imara wala dira....vinaeleaelea tuu
Itachukua muda sana kujenga chama cha upinzani kilicho makini kwa Tanzania na maana hiyo CCM itazidi kushika hatamu