Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

Mbatia ni afisa kipenyo wa mda mrefu sana
Afisa kipenyo anatakiwa asaidie nchi na wala siyo chama fulani au kiongozi fulani.
Maana ya afisa kipenyo wa kweli ni yule atakayelinda katiba na sera za nchi kwa manufaa ya sasa na baadaye.
 
Joseph Selasini: Tangu ulipofanyika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, maneno mengi yamesemwa kwamba kilikuwa na mapinduzi, naomba niseme kwamba hapakuwa na mapinduzi bali kulikuwa na kikao halali cha Halmshauri Kuu kilichotimiza akidi"
Jamaa anawaza CCM yake , huku anaivuruga NCCR- Mageuzi. Hatari ya kutumika.
 
Afisa kipenyo anatakiwa asaidie nchi na wala siyo chama fulani au kiongozi fulani.
Maana ya afisa kipenyo wa kweli ni yule atakayelinda katiba na sera za nchi kwa manufaa ya sasa na baadaye.
Elimu yako ndogo sana huwezi kuelewa mambo mengine
 
Mbona viingozi wa upinzani na wachagga tu nchi hii kasoro zitto na rungwe

Nani kakwambia Zitto sio mchaga? Zitto nae ana bei yake kama hao wakina Mbatia!! Uchagga ni tabia ya Kupenda hela!
 
Elimu yako ndogo sana huwezi kuelewa mambo mengine
Yawezekana wewe hujui tofauti kati ya elimu na uwezo wa kuelewa, tunarudi kule kule kwenye umasikini wa fikra.

Narudia Tena inawezekana kwa sababu sijakufanyia tathmini ya kutosha kuthibitisha.
 
Siasa ina maslahi mno ndio maana wachaga wamejaa huko.

Hao mangi wamezidiana ujanja tu.

Wakirudi disemba lazima wakasuluhishwe na wazee kule migombani.
 
Back
Top Bottom