Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Acha roho mbaya mkuu. Au wewe hukuwepo bongo?Lissu alivutia umati upi wa watu!!? Unajitekenya na kucheka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbaya mkuu. Au wewe hukuwepo bongo?Lissu alivutia umati upi wa watu!!? Unajitekenya na kucheka.
Mbona viingozi wa upinzani na wachagga tu nchi hii kasoro zitto na rungwe
Mzee mhuni sana huyoHuyu mzee hizo ndevu na nywele ni kwamba anapaka rangi au ndio kazaliwa hivyo?
View attachment 2239563
Picha: Joseph Selasini
Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena"
Joseph Selasini: Mimi ni mwanachama wa NCCR, barua inayoendelea hivi sasa mitandaoni, imewekwa na watu wenye nia ovu, kama ningeomba kurejea CHADEMA na ningeandika barua, basi ingewekwa barua ya mimi kuomba kurejea CHADEMA na si barua ile"
Joseph Selasini: Sheria ya vyama vya siasa inaitaka kila chama Kuwasilisha kwa msajili wa vyama vya siasa nchini majina ya wanachama wote ambao ni wajumbe wa Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Baraza Kuu na Kamati kuu, hivyo wanaotaka kuthibitisha uanachama wangu, wakatafute hapo"
Joseph Selasini: Tangu ulipofanyika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM, maneno mengi yamesemwa kwamba kilikuwa na mapinduzi, naomba niseme kwamba hapakuwa na mapinduzi bali kulikuwa na kikao halali cha Halmshauri Kuu kilichotimiza akidi"
Joseph Selasini: Maneno ya kwamba Joseph Selasini amempindua Mbatia ni maneno ya kejeli, uchochezi, uzushi na uongo. Ni maneno yanayojaribu kujenga dhana ya kwamba, wenyeviti wa vyama vya siasa ni wakubwa kuliko katiba ya vyama vyao na hawawezi kujadiliwa"
Joseph Selasini: Halmashauri Kuu ya NCCR Mageuzi na ya chama chochote cha siasa, haina mamlaka ya kikatiba ya kumfukuza Mwenyekiti wa chama, mamlaka ya Halmshauri Kuu ni kumsimamisha mwenyekiti, ni kama mfanyakazi anaposimamishwa kupisha uchunguzi"
Joseph Selasini: Sidhani kama Mwenyekiti aliyeongoza chama kwa miaka 23 anaweza kuogopa mkutano mkuu, au afanye vikao nje ya ya katiba ha utaratibu ili ajenge hofu ili watu wakuunge mkono"
Joseph Selasini: Moja ya jambo ambalo Mwenyekiti wetu (James Mbatia) ambalo anatuhumiwa nalo kwa muda mrefu ni uhusiano wake na Chama cha Mapinduzi (CCM), hata baadhi ya vyama vingine vya siasa vimekuwa vikisema kuwa hatumwelewi Mbatia ana uhusiano gani na CCM"
Joseph Selasini: Mimi na Anthony Komu tuliporudi NCCR Mageuzi mwaka 2020 Mbatia alitupeleka hadi kwa Dkt.Bashiru Ally kwa lengo la kufanya makubaliano ya kuisaidia CCM kwenye uchaguzi,tulipotoka kwenye kikao hicho tulikubaliana mimi na Komu kutoshiriki uharamu huo".
View attachment 2239578
Barua inayodaiwa kuwa ya CHADEMA inayomtaja Selasini kuwa aliomba kadi yao
Chanzo: Dar Mpya Blog
Akina mbatia ndo walikua wapiga kura wa siri wa zile kamati za kumuadhibu Lissu wakati wa kampeni...Mbatia ni mchumia tumbo tu. Hana uafisa wowote. Uchaguzi wa mwaka 2020 walipoitwa na Magufuli, waliahidiwa vyeo na fedha za kusaidia kampeni zao na wao wapewe baadhi ya nafasi za ubunge na kuwa chama cha upinzani kitiifu kwa mwendazake. Hali ilikuja kubadilika baada ya Chadema kumsimamisha Lissu na kuvutia umati mkubwa wa watu. Magufuli alipoona hali ni mbaya kwake akaamua kutumia dola kupora uchaguzi na akawatupilia mbali hawa wachumia tumbo kwani aliona hawana uwezo wa kupambana na Chadema.
sahihiMbatia ni mchumia tumbo tu. Hana uafisa wowote. Uchaguzi wa mwaka 2020 walipoitwa na Magufuli, waliahidiwa vyeo na fedha za kusaidia kampeni zao na wao wapewe baadhi ya nafasi za ubunge na kuwa chama cha upinzani kitiifu kwa mwendazake. Hali ilikuja kubadilika baada ya Chadema kumsimamisha Lissu na kuvutia umati mkubwa wa watu. Magufuli alipoona hali ni mbaya kwake akaamua kutumia dola kupora uchaguzi na akawatupilia mbali hawa wachumia tumbo kwani aliona hawana uwezo wa kupambana na Chadema.
Acha uongo na wivuHalafu leo unaona kuna watu wanakaa vikao siliasi kabisa eti wanapanga mikakati ya kurudisha demokrasia na wanaaminiana kabisa
Muda utaongea na Kifungo cha yule Jamaa inawezekana ilikuwa ni kurudisha trusting ndani ya Chademà tu. Sasa anapiga boli Sana pale Kati kuwadhibiti wanaojaribu kulichafua taifa na kulikosesha vinono vya duniani.
Siasa za bongo ni pwagu pwaguzi, wale wa zama I mtanielewaHapo ndio ugomvi unapoanzia, Mbatia akapewa shs. 500 miliion kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2020; Selasini na Komu hawakuambulia kitu!!! Lakini kwenye sakata hili Komu yuko na Mbatia!! Hawa wachaga wanachezea saccos yao!!!
Hii mbinu ya migogoro wanaitumia Sana, Naona inawalipaHuu ugomvi asili yake ni marupurupu ya 2020.. Hawa wawili wanafahamiana vema na bado hawajayatapika yote.. Hii bongo movie ndio kwanza iko part 1
Kwa namna moja system imeweza kutuhamisha toka kwenye mada moto ya katiba mpya! This time wame score moja bila
Bado kuna movie ya ACT Wazalendo inaandaliwa itatoka karibia na uchaguzi mkuu
Lisu alifanya kazi kubwa kumtanguliza jiwe ahera, alindwa hata kufanya kampeniKwani umati wake ulikuwa siri? Tena alikuwa anapata umati bila kuruhusiwa kuweka hata bango moja la matangazo. Umati aliokuwa anapata ndio chanzo cha dhalimu kuanza kuugua, na baada ya matokeo kisha dhalimu kuujua ukweli wa kwenye box la kura, alichanganyikiwa na kupata sonona ya hatari. Hadi dhalimu anaenda motoni hakuwahi kuwa na raha tena.
Nchi hii bado baadhi ya watu wanadanganyika kuna siasa za upinzani! Tanzania kuna ajira za siasa za upinzani hiyo ni kazi ya kupatia mkate wa watoto.Hapo ndio ugomvi unapoanzia, Mbatia akapewa shs. 500 miliion kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2020; Selasini na Komu hawakuambulia kitu!!! Lakini kwenye sakata hili Komu yuko na Mbatia!! Hawa wachaga wanachezea saccos yao!!!
Teh 😆Mbatia ni afisa kipenyo wa mda mrefu sana
Selasini anatumika na msajili wa vyama vya siasaHapo ndio ugomvi unapoanzia, Mbatia akapewa shs. 500 miliion kuisaidia ccm kwenye uchaguzi 2020; Selasini na Komu hawakuambulia kitu!!! Lakini kwenye sakata hili Komu yuko na Mbatia!! Hawa wachaga wanachezea saccos yao!!!
Atakuwa ameingiziwa mzigo wa kutoshaKwanini hawakusema wakati ule ule kama ni kweli yeye na Komu waliamuwa “kutokushiriki haramu hiyo”?
Na kwasasa hivi nani anawasaidia ccm kama siyo yeye akishirikiana na msajili wa vyama?
Akili za kuambiwa…
Kwan dikteta wenu yule anayeteketezwa kwa moto uko jehanamu alivutia nini zaidi tu ya kufanya uharamia kt uchaguzi.Lissu alivutia umati upi wa watu!!? Unajitekenya na kucheka.
Huna hoja we koko mbwaHiihii CHADEMA inayotumiwa na Samia atakavyo, au kuna nyingine?