Uchaguzi 2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.

Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.

Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.

20200903_200940.jpg
20200903_200916.jpg
20200903_200857.jpg
 
Aliye kuwa mbunge wa cdm ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.

Leo hii amevunja record kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.

Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti. View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Bora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwii
Au tunaibiwaaaa??
 
Wherever you go Brother Joe, remember; 'Don't trouble trouble till trouble troubles you'.
 
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.

Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.

Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.

View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Anatia huruma, angekuwa CDM pasingepitika hapo. Wacha aipate freshi kwa dhambi yake ya usaliti.
 
Bora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwii
Au tunaibiwaaaa??
Kuchanga ni moyo na pia hiari.
Yaonekana hata familia yako wanaishi bila kuwa na amani kabisa, kwa kuogopa kudaiwa na baba yao.
 
Bora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwii
Au tunaibiwaaaa??
Yupi huyo mkuu?
 
Back
Top Bottom