Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si huyooo jamaa yenu wa kiki za miujiza alifungua kampeni mbagala zakhem na akatutoza Sadaka ambazo hata Leo hatujui mapato yake na matumizi yakeee?Yupi huyo mkuu?
Tuwekee na picha za mgombea wa Chadema tulinganishe!Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Hii nyoni imevunja rekodiAliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Kama ulichanga basi hiyo ni haki ya mchamgiwa kutumia anavyo hitaji maana kutoa ni moyo.Si huyooo jamaa yenu wa kiki za miujiza alifungua kampeni mbagala zakhem na akatutoza Sadaka ambazo hata Leo hatujui mapato yake na matumizi yakeee?
Kwa wanasoccos nisawaaa, ilatunataka kujulishwa mapato na matumizi ya hizo sadakaa, maana vyombovinavyotumika kutoza hizo sadaakaa ni mandooo ya rita 20,Kuchanga ni moyo na pia hiari.
Yaonekana hata familia yako wanaishi bila kuwa na amani kabisa, kwa kuogopa kudaiwa na baba yao.
Malipo ni hapa hapa dunianiAliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Mwenzenu huyo[emoji23]Sasa mbona picha ni kama wanapita mitaani kutangaza!
Iweje nini?Ili iweje?
Kiukweli bora ukose mali upate akili hawa jamaa wana aibika wanatamani kurudi ila ndio hivyo tena nafasi zimejaaHakika sasa hivi hana tofauti na Lyatonga na lipumbaa
Akae akijua sadaka zetu hazitatafunwa hovyo kama zile tozo za mishahara ya wabunge waviti maaaluum.Kama ulichanga basi hiyo ni haki ya mchamgiwa kutumia anavyo hitaji maana kutoa ni moyo.
Shida yetu watanzania ni kwa yule anaye tumia kodi zetu kufanyia anayo taka yeye bila kuidhinishwa kisheria