MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Labda aje Mr. NiceIweje nini?
Hapo Rombo mikutano ya CCM pekee ndio inakuwa na nyomi la ukweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda aje Mr. NiceIweje nini?
Hapo Rombo mikutano ya CCM pekee ndio inakuwa na nyomi la ukweli!
Huyu utafikiri siasa za uchagani hazijui.kwanza Selasini alichaguliwa si kwa sababu yeye anakubalika bali chama ndicho kilimbeba kutokana na chadema kukubalika katika ukanda huu.Tz kuna vyama 2 washindani CHADEMA na CCM.Apambane hamna namna
Hahahaaaaa jinsi watu wamejaa au.Sory mkuu hapo ndie yuko wapi
Ndio[emoji23]Hahahaaaaa jinsi watu wamejaa au.
Alidhani yeye ni star. Kumbe Chadema ndiyo ilikuwa ikimpa umaarufu na pesa za kuweka nywele die..Kuna nyomi
Ova