Uchaguzi 2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

Uchaguzi 2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

Vipi wale nyodo wa viti maalumu walioandikiwa barua vipi watauza uko
 
P
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.

Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.

Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.

View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Pension ya ubunge uliyoipata Sasa naona unaichezea,ulibebwa 2015 na upepo wa Lowasa Sasa umenisahau.pole
 
Back
Top Bottom