John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Ndugai njoo umpigie kampeni jamaa yako huku.
Naona nyomi la kufa mtu.
Naona nyomi la kufa mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
mheshimiwa sana mbunge wetu ajaye mzee Selasini...kumbuka kuwa:-Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Kilimanjaro hawajawahi kuniangusha wanakuangaliiia kwa dharauAliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Ukute ni wewe ni baba unafamilia ,kweli Tanzania kuna shida jamaniBora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwii
Au tunaibiwaaaa??
Hii inaitwa , nyomi selasin 2020, do ndo kwisha habari yake yani labda asubili kuteuliwa endapo jpm akipita japo nae kupita matumain ni madogo kama ngamia penya tundu la sindanoAliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Hiyo nyomi naona leo itamlaza na viatu maana ustar wote alio kuwa nao akiwa cdm ndiyo ulimlevya akajiona kama ni bonge la cakehii inaitwa , nyomi selasin 2020, do ndo kwisha habari yake yani labda asubili kuteuliwa endapo jpm akipita japo nae kupita matumain ni madogo kama ngamia penya tundu la sindano
Usipime kina cha maji kwa kuangalia jaribu kuzamisha kijiti
Ndo anaowafanya msilale hadi mnawabeba watu kutoka mikoa mbali mbali na fuso kama mpunga halafu hamwarudishi mkiwatumia ,vipi kesho matrekta na fuso ngapi zitasomba watu
Thubutu watanzania sio wajinga usijidanganye
Sijui ratiba zenu za uchomaji zimekaajevipi mtachoma ofisi zingine?
Na ulinzi mkubwa amepewa ili wananchi wasije wakamtimua kwa usaliti wake.Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Tunaomba mtupe mapato na matumizi ya sadaka zetu mnazotozea kwenye mandoo meupe ya Lita 20.Ukute ni wewe ni baba unafamilia ,kweli Tanzania kuna shida jamani