Uchaguzi 2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.

Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.

Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.

View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725

mheshimiwa sana mbunge wetu ajaye mzee Selasini...kumbuka kuwa:-
Heri kenda shika kuliko kumi nenda rudi.
Heri ya mrama kuliko kuzama.
Heri nitakula na nini kuliko nitakula nini.

Ubarikiwe mheshimiwa!
 
Bora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwii
Au tunaibiwaaaa??
Ukute ni wewe ni baba unafamilia ,kweli Tanzania kuna shida jamani
 
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.

Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.

Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.

View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Hii inaitwa , nyomi selasin 2020, do ndo kwisha habari yake yani labda asubili kuteuliwa endapo jpm akipita japo nae kupita matumain ni madogo kama ngamia penya tundu la sindano
 
hii inaitwa , nyomi selasin 2020, do ndo kwisha habari yake yani labda asubili kuteuliwa endapo jpm akipita japo nae kupita matumain ni madogo kama ngamia penya tundu la sindano
Hiyo nyomi naona leo itamlaza na viatu maana ustar wote alio kuwa nao akiwa cdm ndiyo ulimlevya akajiona kama ni bonge la cake
 
Ndo anaowafanya msilale hadi mnawabeba watu kutoka mikoa mbali mbali na fuso kama mpunga halafu hamwarudishi mkiwatumia ,vipi kesho matrekta na fuso ngapi zitasomba watu

Vipi mtachoma ofisi zingine?
 
Ukute ni wewe ni baba unafamilia ,kweli Tanzania kuna shida jamani
Tunaomba mtupe mapato na matumizi ya sadaka zetu mnazotozea kwenye mandoo meupe ya Lita 20.
Yaaaaniii hatuwaelewiiii, hatamkitoa matusi kwa kiasi ganiiii.
Kwanza mtuambie nani mtunza hazina wazile sadakaaa?
Kipindi hiki zitawatokea puaniii
 
Back
Top Bottom