Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee huyo nccr si tawi lenu muongezee nguvu anadhihirishaIweje nini?
Hapo Rombo mikutano ya CCM pekee ndio inakuwa na nyomi la ukweli!
Nani tena?Akae akijua sadaka zetu hazitatafunwa hovyo kama zile tozo za mishahara ya wabunge waviti maaaluum.
Zitaamtokea puaniii jamaa yenuuu.
Mwambieni mapemaa, tumechoka kulagaiwa na walanguziiii
Hiyo tulinunua ndege na kujenga Chato international airport na tumeongeza wanyama katika hifadhi ya lubondoUmenikumbusha ile 1.5 trillion
Hhhhhhh wakafie mbali wasalitiHakuna wa kupokea hayo maganda ya mpunga
Tukana tuuu walamatusi hayaondoi wizi mnaotuibia kwa mgongo wa machangizoooo.Kama unawashwa sema tukutafutie mkunaji
Juzi rais mtarajiwa aliwauliza wana mwanza wamwambie tangu uwanja wa chato ujengwe ni ndege ngapi za abiria zimetua chato?Hiyo tulinunua ndege na kujenga Chato international airport na tumeongeza wanyama katika hifadhi ya lubondo
Unazungumzia yule aliyerushiwa mawe na wahuni wa CCM waliotumwa ?mara mia huyu kuliko yule alierushiwa mawe
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Kwani umelazimishwa kuchangiaTukana tuuu walamatusi hayaondoi wizi mnaotuibia kwa mgongo wa machangizoooo.
Hizo fedha jamaaa yenuu zitamtokea puani
Kwahiyo matusi yenu hayatatuzuia kuhoji matumizi ya sadaka zetu zinazotozwa kwa kulazimishwa kwenyee mandooo ya Rita 20.
Unazungumzia yule aliyerushiwa mawe na wahuni wa CCM waliotumwa ?
Ndiyo nini?