Sasa mbona picha ni kama wanapita mitaani kutangaza!Aliye kuwa mbunge wa cdm ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja record kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti. View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Bora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwiiAliye kuwa mbunge wa cdm ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja record kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti. View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Wherever you go Brother Joe, remember; 'Don't trouble trouble till trouble troubles you'.Aliye kuwa mbunge wa cdm ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja record kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti. View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Sory mkuu hapo ndie yuko wapiAliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Anatia huruma, angekuwa CDM pasingepitika hapo. Wacha aipate freshi kwa dhambi yake ya usaliti.Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA ndugu Joseph Selasini ambaye alihamia NCCR mageuzi anaendelea na kampeini za kuusaka ubunge.
Leo hii amevunja rekodi kwa kukusanya kijiji jimboni na kusababisha shughuli za ujenzi wa taifa kusimamishwa kwa muda.
Kweli malipo ni hapa hapa duniani na dawa ya msaliti ni kumsaliti.
View attachment 1557722View attachment 1557723View attachment 1557725
Kuchanga ni moyo na pia hiari.Bora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwii
Au tunaibiwaaaa??
Yupi huyo mkuu?Bora hata huyuuu, kuliko yule wa kiki za miujiza ili watanzania tumpe uraisi kama kifuta machozi. Anaishia kutuchangisha sadaka za kikumi kwa lazma ambazo hatujui hadi Leo hatujui nikiasi gani walamatumizi yake mpaka hatujulishwii
Au tunaibiwaaaa??