Uchaguzi 2020 Joseph Selasini wa NCCR Mageuzi avunja rekodi kwa watu kibao

Apambane hamna namna
Huyu utafikiri siasa za uchagani hazijui.kwanza Selasini alichaguliwa si kwa sababu yeye anakubalika bali chama ndicho kilimbeba kutokana na chadema kukubalika katika ukanda huu.Tz kuna vyama 2 washindani CHADEMA na CCM.
 
Itakuwa picha umepiga vibaya,mbona umepiga hao wachache,umewaacha walio wengi ambao hawaonekani...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…