Pre GE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono ila aje akijua nafasi ya yeye kugombea Urais kupitia chadema haipo
 
Ni kweli kabisa!
Huwezi kupambana na Shetani ukiwa kwenye Ngome yake!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Duuuh huyu tapeli aliyedanganya watu wa kawe angewapeleka marekan amenunua ndege yake amenunua tren yake kutoka Japan

Alimuibia mdee kura na picha na video zilienea mitandaoni
Abaki huko huko chadema hatumtaki
Mzee mnatakiwa sana

Naunga mkono ila aje akijua nafasi ya yeye kugombea Urais kupitia chadema haipo
Kabisa mkuu, hiyo haipo kabisa
 
Hahhaha kweli technology ni hatari sana
 
Mshenga wa Chadema kwa Lowasa.
 
Chadema itamkubali huyu aliyesema atawapeleka wananchi wa Kawe ziara Birmingham Uingereza na mpaka leo hata mbuga za Serengeti tu hapa hapa Tanzania hajathubutu kuwapeleka ?
 
Sio mwoga mkuu, ni kwa vile yupo huko ccm, nafsi inamsuta
Unakumbuka ile clip yake ya ngono ambayo watu wanadai ni kazi ya Makonda? Huenda kuna nyingine mbaya zaidi wamezitunza wanasubiri siku akifanya fujo ya kuwasema CCM.
 
Kuna nabii Fulani anasema huyo ndio Presideñt ajaye ila lazima apitie CDM,anasema isipotokea basi Mungu hakumwita katika utumishi
1. Mpinzani akishinda kiti cha urais Tz aweza kutangazwa??

2. Je kwa Tz imewahi kutokea kuwa na rais ambaye hajapitia nafasi ya waziri ktk wizara zetu?
3. Tz kwenye nafasi ya urais huwa ni Bakwata na Tec, Gwajima ni Mpotestanti je Tec na Bakwata watakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…