Josephine Matiro: Miaka 7 hapakuwa na Ongezeko, ndani ya Mwaka mmoja Rais Samia kaongeza 23.3%. Ni Ushindi kwa Wanawake

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
692
Reaction score
880
IMG_20220520_132207_462.jpg
Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa 23.3% ni Ushujaa wa hali ya Juu. Ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga Unyanyasaji, Ukatiri na kujengeana Uwezo.

Josephine Matiro ambaye alikiwaMkuu wa wilaya Shinyanga, amesema huko nyuma kulikuwa kunatokea nyongeza ila ndogo sana, single digit. Hata ukilinganisha na Nchi nyingine, Kenya wameongeza 12% mataifa mengine yanayo tuzunguka wameongeza Chini ya 10%.

Amesema ndani ya Mwaka mmoja Rais Samia amefanya mambo mengine mengi ikiwa ninpamoja na

*Amepunguza PAYE stands for Pay-As-You-Earn kutoka 9 hadi 8.

*Miaka saba hapakuwana Ajira, lakini Mwaka mmoja katoa ajira elfu 44

*Amepandisha madaraja kwa Wafanyakazi

*Amelipa malimbiko ya mishahara

*Amesimamia kulipa mafao ya Wastaafu kwa wakati

*Ameongeza Bima ya afya kwa Wategemezi hadi miaka 21 badala ya 18

*Ubadilishaji wa kada katika utumishi

*Watu wamepandishwa vyeo, Vyeo vilikuwa vimesimama kwa miaka 7 nk.

Amesema Ongezeko la Mishahara imefanya Wafanyakazi waongezee bidii na Ufanisi. Walikuwa wanatoa huduma kwa kinuna lakini sasa wanatoa huduma huku wametabasamu.

Hili ongezeko la Mshahara linaenda kuongezea Mzunguko wa hela Mtaani. Kwa mara ya kwanza watanzania wanatabasamu.

Matiro amewaomba Watanzania kumuunga Mkono Rais Samia.

=====

WANAWAKE TANZANIA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UJASIRI WA KIPEKEE

Dar es Salaam, Mei 20, 2022
Ifuatayo ni taarifa kwa vyombo vya habari nchini Tanzania kutoka kwa taasisi isiyo ya kiserikali ya Wanawake 100,000. Taasisi yetu inawakilisha wanawake zaidi ya 100,000 kutoka kila kona ya nchi yetu na pia tunasimama hapa kwa niaba ya Watanzania wote nchini wanaopenda maendeleo ya taifa letu.

Ndugu wanahabari, leo tumewaita hapa kuzungumzia masuala matatu makuu ambayo kwa sasa yameibua mijadala mbalimbali kwenye jamii, hususan nyongeza ya kima cha chini cha mshahara cha asilimia 23.3% iliyotangazwa na serikali hivi karibuni, jitihada za semrikali kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta duniani na uzinduzi wa makala mazlumu ya Royal Tour uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan hicvi karibuni Marekani na nchini Tanzania.

Tungependa kuchukua fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa Rais Samia kuonesha ujasiri wa kipekee, ubunifu na uthubutu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizotokea nchini na duniani kwa ujumla tangu achukue uongozi wa nchi mwezi Machi mwaka jana.

NYONGEZA YA MSHAHARA
Mnamo tarehe 14 Mei 2022, taarifa iliyotolewa na Ikulu ilitangaza kuwa Rais Samoa ameridhia mapendekezo ya kuongeza mishahara, ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3 na hivyo kuibua shangwe kubwa nchini.

Ongezeko hili la mshahara ni kubwa kuwahi kutokea nchini kwa kipindi kirefu sana.
Kwa miaka mingi sasa, wafanyakazi nchini wamekuwa na kilio cha kutoongezwa mshahara na kutopandishwa vyeo kwa watumishi wa umma.

Vile vile, mifuko ya pensheni nchini ilikumbwa na uhaba mkubwa wa fedha na hata kushindwa kulipa mafao kwa wakati kutokana na serikali kuwa na malimbikizo makubwa ya michango ya penchent ya watumishi wa umma.

Ndani ya mwaka mmoja tu, Rais Samia ameweza kuongeza mshahara kwa 23.3%, amepandisha watumishi wa umma maharaja na kulipa malimbikizo ya mchango wa pensheni za watumishi wa umma.

Serikali imepanga kutumia kiasi cha Shilingi trilioni 9.7 katika mwaka wa fedha ujao wa 2022/23 kwa ajili ya kugharamia malipo ya mishara ya watumishi wa umma. Hili ni ongezeko la Shilingi trilioni 1.59 ukilinganisha na bajeti ya 2021/22.

Ongezeko la kima cha chini cha mishahara pamoja na kupandishwa kwa madaraja kwa watumishi wa umma, siyo jambo jema kwa watumishi wa umma pekee, bali taifa zima.

Maelfu ya walimu, manesi, askari na watumishi wa kada nyingine wataongeza kipato chao na mafao sao kutokana na ongezeko hili.

Utafiti wa wachumi huonesha pia kuwa ongezeko la mshahara huleta chachu kwenye jamii yote, huongeza pato la taifa la hukuza uchumi wa nchi kwa ujumla.
 
Oneni bajeti ya ndugu yangu halafu hapo hajaweka nyama mdomoni au kununua vocha apige simu. Mlo tu na usafiri kwake mwenyewe kwenda kazini na kurudi Nyumbani. Hakuna hela ya tahadhari au mwanamke kubadili nguo ya ndani au taulo zile za kwao. Mtoto akiugua wanapiga magoti kuomba. Hii ndio Hali halisi ambapo wali Ni anasa achilia samaki Kama dagaa was Bei nafuu. Huku kitaa kimeumana aisee
IMG_20220515_144530_411.jpg
 
Attachments

  • D3632378-4FFB-4FE1-BAA0-04B62D6B851F.jpeg
    D3632378-4FFB-4FE1-BAA0-04B62D6B851F.jpeg
    77.9 KB · Views: 8
  • 73B0441F-9181-4AF7-8868-D0FA85B27ADE.jpeg
    73B0441F-9181-4AF7-8868-D0FA85B27ADE.jpeg
    29.3 KB · Views: 6
  • E6836217-6EF1-47F4-BFB3-1107A3A1F6AB.jpeg
    E6836217-6EF1-47F4-BFB3-1107A3A1F6AB.jpeg
    39.8 KB · Views: 7

Josephine Matiro ameolewa? Ninaomba CV yake tafadhali. Kuna uwezekano ni darasa la saba akakusanya wanawake akaunda NGO ya kupotosha watumishi wa Umma.​

Back
Top Bottom