Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #181
Thanks Bro BIGstallionWelcome back bro, Joseverest
sawasawa mkuu nimekuelewaUngetoa taarifa kwamba utakua offline 4 a month il kuepusha hayo yote.....I really missed u pale kwny first reply...
Welcome back bro.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] kiongoziKaribu tena kiongozi
Ndio hivyo aisee, ila utata nimeutoa kwa hiyo ondoeni hofuMtoa mada kama mwishoni ameshauri watu 'wasizushe' lakini amesahau kwamba kulikuwa kuna 'ombwe' la taarifa sahihi kwa sababu yeye muhusika hakuaga rasmi hatokuwa jukwaani kwa muda fulani
Jukwaa (Jamii) ina haki kufikiria vyovyote kama muhusika hakusema sababu ya kutokuwa 'active' na pia ukizingatia nafasi ya muhusika jukwaani
Na kwa upande mwingine inaonyesha tunaishi katika 'hofu' kama jamii ndo maana kuna hizo issue za kutekana ziliibuka hapa kuna kitu hakipo sawa
Pia ni dalili ya watu ambao tupo 'hasi' katika namna zetu za kufikiri tunawaza mabaya muda mwingi hasa kwa wenzi wetu
Lakini pia kulikuwa na some jokes tu
[emoji15] [emoji15] vipi mkuuAahhh
the great
Sawa my love unajua nakupendaNimesharudi nyumbani nakusubiri wewe
Asante nafurahi kusikia hivyo kiongozi..pamojaAiseee jamaa karibu tena mtu wa watu hata hujui kuchukia, nafrahiaga na majibu yako ya kuignore hata kama mtu kakutukana kiukweli umenifunza tabia! Karibu sna kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna ukweli hapo mkuu
Nipo mzima kiongozi[emoji4]Hahahahaa Jose kumbe upo
Tanzania hapahapa mkuu
Poa aisee mkuu
poa aseeh mkuu
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Kwa wale waliokuwa wanakaimu position yake ya first to reply mwenyewe amerudi....
Ndio hivyo nimerudi mkuu, kwa nini umecheka [emoji23]welcome back hosee, dah huu uzi nimesoma huku nacheka mwanzo mwisho
kuna huduma ya PM-PESA NIKUTUMIE HELA ???HAHAHANilikushikia nafasi ya be the first to reply inabidi unilipe
Nashukuru Dada Rebecakaribu tena Joseee